ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Lakini mnateseka sana.Shida kubwa ya Lissu ni arrogance, Mbowe hana hiyo, ana unyenyekevu wa kiuongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini mnateseka sana.Shida kubwa ya Lissu ni arrogance, Mbowe hana hiyo, ana unyenyekevu wa kiuongozi
48 LAWS OF POWER.
Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari.
Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu.
Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu.
Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa na Zitto waliondoka, Lissu ni nani?
Yaani makamu anafoka jukwaani na uwanja wa ndege kumuulizia Mwenyekiti Yuko wapi?
Mbowe nakuamini, hujawahi kushindwa.
Tunajua Lissu anataka kusajili chama chake Cha Siasa.
Yaani Udikteta Uchwara?Shida kubwa ya Lissu ni arrogance, Mbowe hana hiyo, ana unyenyekevu wa kiuongozi
Naona Sukuma gang mmeanza strategy mpya, sijui hii sasa ndiyo plan B yenu au ndiyo mnacheza na jinsi upepo unavyovuma.48 LAWS OF POWER.