CHADEMA ijifunze kutoka Mataifa yaliyoendelea. Hakuna chama cha siasa kinafanya harakati kwa sasa

Kutumia mbinu za miaka ya 40 na 50 katika era ya Science na Technology ni kukosa ubunifu.
Ccm wajifunze huko huko unakotaka cdm wakajifunze, wizi wa kura wa kijinga umeshapitwa na wakati. Huo upuuzi mnaoniaminisha kuwa ccm itatawala sana nchi hii mnajidanganya. Hiki si kizazi cha ccm, kubalini mmeshachokwa muheshimu box la kura mkalishwe pembeni kiroho safi. Kinyume na hapo mtaunda sana tume za kuficha mauaji ili mkae madarakani kwa shuruti. Cdm shikilieni hapo hapo hadi haya majizi yaheshimu maamuzi ya umma.
 
harakati imeiharibu kabisa chadema aise,

leo wanadandia hili, kesho wanadandia jingine, yaani inafikia mahali hata wao wenyewe hawajui hata wanafanya nini au wanataka nini :pedroP:
 
Kutumia mbinu za miaka ya 40 na 50 katika era ya Science na Technology ni kukosa ubunifu.
Kwa nini Ccm pia haitaki kujifunza?Hakuna chama cha siasa duniani kinachofanya ugaidi ni ccm pekee ambacho kimekasimisha majukumu yake kwa polisi. Ni aibu sana dunia hii ya demokrasia kuwa na chamq cha aina hii
 
Usisahau pia hakuna chama cha siasa kinachoteka na kuua watu
 
Ccm wajifunze huko huko unakotaka cdm wakajifunze, wizi wa kura wa kijinga umeshapitwa na wakati. Huo upuuzi mnaoniaminisha kuwa ccm itatawala sana nchi hii mnajidanganya. Hiki si kizazi cha ccm, kubalini mmeshachokwa muheshimu box la kura mkalishwe pembeni kiroho safi. Kinyume na hapo mtaunda sana tume za kuficha mauaji ili mkae madarakani kwa shuruti. Cdm shikilieni hapo hapo hadi haya majizi yaheshimu maamuzi ya umma.
unaongelea box la kura wakati hujashiriki uchaguzi...hii ni akili ya wapi?
 
Nishiriki kwenye box la kura ambalo mshindi ameshapangwa? Ama natakiwa nishiriki kama fashion wakati uchafu wote naujua?
 
Back
Top Bottom