Hata kama hakuna kipengele hicho ni kwa nini mnatengeneza ufalme ndani ya uongozi wa chama? Na mkipewa nchi mtafanya same thing. Uongozi bora huanzia chamani,leo mmekuwa na vyumba vya mateso na makundi ya utekaji na kumwagia watu tindikali wasiokubaliana na nyie,tukiwapa nchi ukizingatia hazina ya fedha za nchi itakuwa mikononi mwa wachaga walioanzisha chama kwa mapesa yao,tutapona kweli ambapo usalama wa taifa,jeshi kuu na jeshi la polisi litakuwa chini yenu. Hapa nadhani watz tuwe makini. Hawajashika serikali wana vyumba vya mateso,wakishika je itakuwaje?