Mkuu Soso, nini katiba ya chama, zipo sheria zinaanzia kwa mwanasheria mkuu zinakuja bungeni, rais anaridhia, kisha mahakamu kuu inazitangaza ni batili!.
Mimi naming this was an oversight kwa ofisi ya msajili and believe me soo it will be dealt with accordingly!.
Mfano hai ni katiba ya nchi ilitoa haki kwa mkono mmoja na kuzichukua kwa mkono mwingine!. Mfano ni haki ya kila mtu kuwa huru kushiriki uongozi toka serikali ya mtaa hadi serikali kuu.
Tume ya uchaguzi ikaweka sharti la kudhaminiwa na chama cha siasa. Mtikila akapeleka mahakamani, mahakama kuu ikatamka kipengele hicho ni batili!!, serikali ikakata rufaa ikashindwa, ndipo sasa serikali ikaleta mabadiliko ya katiba na kukuingiza kipengele hicho ndani ya katiba.
Chadema imepiga marufuku wanachama wake kwenda mahakamani!, ukitoka unafukuzwa chama!. Sababu ni eti kwa sababu Chadema wana kangaroo court zao kama ile iliyomhukumu Zitto!, sasa nasikia wamejenga chumba cha mahojiano, bado tuu kujenga gereza!, ila nimewashauri hukumu zote zitakuwa za aina moja!, hazimhitaji mtu kukaa gerezani ni kutia tuu hasara ya bure, kwa kuendelea kula bure na kulala bure!, kwenye kile chumba cha mahojiano, kwa nyuma nimewashauri wajenge i electronics crematorium!.
Pasco.