Huyo Lema kishaua na kujeruhi watu wengi huko Arusha na Moshi ati naye ni mbunge. siasa imevamiwa na matapeli
R.I.P chacha Wangwe: huyo naye aliuawa na Lema pia. Lema a.k.a mali ya Mungu ni mtu anayeandaliwa kushika kitengo cha Unyama na utesaji endapo miujiza itatokea CDM wakachukua nchi
We Pasco sometimes unaniacha hoi.
1.Unajifanya neutral? Kwa hiyo leo unamkana rasmi EL?
2.Haki gani unayoiongelea kutotolewa na mahakama? Nijuavyo huyo unayeficha jina lake,Mwite Mhusika Mkuu(MM) angeshafukuzwa pamoja na akina Mwigamba na Kitila kwa makosa yanayoendana.Yeye kaamua kwenda kutafuta haki mahakamani.Asijadiliwe.Na mahakama imefanya kazi yake,imeona MM hana haki ya kuzuia chama chake kisimjadili.Haki ya kumjadili na kumwadhibu wanayo chama chake.Hapa mahakama haijafanya kazi yake? Imezuiliwa wapi na CHADEMA?
3.Tukiwa wakweli tutakubali kuwa MM amepata alichostahili,tena siku nyingi.
R.I.P chacha Wangwe: huyo naye aliuawa na Lema pia. Lema a.k.a mali ya Mungu ni mtu anayeandaliwa kushika kitengo cha Unyama na utesaji endapo miujiza itatokea CDM wakachukua nchi
Rais atakua Mbowe Waziri mkuu Mnyika, Waziri wa sheria-Lisu, Waziri wa Fedha-KOMU, Waziri wa Ulinzi-kilewo Waziri wa mambo ya ndani-Mrema, Waziri wa Fedha atakuwa ile nyumba ndogo ya Mbowe, Wataanzisha Wazara mpya ya Utawala bora na kazi maalumu Hii atapewa LEMA a,k.a Mali ya mungu. Wizara Nyeti zote watapewa wachaga, na vyeo vyeti kama Mkuu wa majeshi, IGP, Mkuu wa Usalama, wa Magereza, uhamiaji, TRA, Gavana wa BOT, katibu mkuu kiongozi, Jaji mkuu, mwanasheria mkuu, Spika nk watapewa wachaga tu, huko kwengine wataweka wana ukanda wa kasikazini, usiombee Chadema wachukue nchi utajuta kuzaliwa Tz

kwani kwa sasa mauaji yanayofanyika yamesababishwa na CDM, kumbuka mauaji kule Nyamongo, Geita, Mwangosi, Albino, AllyDuh kama ni hivo kaka basi ni majanga matupu bora CCM iendelee kututawala hadi hapo wapinzani watakapo kua vizuri zaidi, mana kwa hiyo list yako ya mawaziri uloipanga sioni kiongozi hapo.
Pasco unajifanya mwerevu lakini ur an empty basket.et nchi ya kidemokrasia kwa mujibu ya katiba ya77 kwa uwezo wako mdogo.toka lini taifa linalo ongozwa na chama kimoja ikawa taifa la ki demokrasia? Nipe mfano hata1?katiba ya77 ni ya kidikteta nandio inalea urais wa kufalme huu.cdm inaujua kuwawajibisha watukutu tofauti ya ccm ya kulindana
ha haaa. viongozi wa ghadhabu.... khalid wamempa magumi na wamemsingizia mambo lukuki. hao ndio cdm ghadhabu ltd.
Ni ndoto kusema kuwa CCM itang'oka hivi karibuni kwani watu hawana imani na chadema kwa 100% kutokana na kukumbatia Ukabila, Ukanda na Udini japo wanazuga kuweka watu wachache wa kabila zingine Lakin hawana Maamuzi ya mwisho, wenye maamuzi ni wachaga tu, Chadema kuna Ubabe na Udikiteta mkubwa kila anayethubutu kuhoji Ufisadi na Ufujaji wa pesa za chama hufukuzwa kama Zito au kuuawa kama chacha wangwe.Ipo siku CCM baada ya kutoka Madarakani miaka kadhaa itakuja kubainika kilikua Chama Bora ukanda huu Wa Afrika mashariki na kati.
Tunawachukia sasahivi kwasababu tumewazoea na tuna hamu ya mabadiriko. Lakini kwa viashiria hivi vya vyama vya upinzani vya Ubabe,kuibaka Demokrasia ndani ya vyama vyao, na kung'ang'ania madaraka naona kwa mbali huko tuendako hali itakuja kuwa mbaya kuliko wakati wowote wa utawala wa ccm.