Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi.
Ni kweli kila nchi inahitaji upinzani ili kuwa kama kioo kwa chama tawala. Lakini sio upinzani unaotishia na kupinga kila jambo linalofanywa na chama tawala.
Kupinga, ujenzi wa miradi mikakati, shule, hata sera na mipango madhubuti kwa taifa. Hiki kimesababisha CHADEMA kujenga uhasama kwa wananchi. Kwa ufupi kimechukiwa.