Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
š¤£š¤£š¤£Sema CHADEMA umeichukia usiwalishe maneno Watanzania ambao wengi wao wanajitambua. Tanzania ya leo sio Tanganyika tena, wengi wanajitambua.Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi...