Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
🤣🤣🤣Sema CHADEMA umeichukia usiwalishe maneno Watanzania ambao wengi wao wanajitambua. Tanzania ya leo sio Tanganyika tena, wengi wanajitambua.Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi...
nn maana ya upinzani? kujipendekeza kwa utawala? kuwa wazee wa yes man?Kupingapinga ndio upinzani halisi?
Kwa mtazamo wako ni nani mwenye uhasama na wanyenchi.au kwa tafsiri yako uhasama ni nini?Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi...
CCM ni adui wa maendeleo ya watanzania wanajuta kuifahamu, CHADEMA tumaini lao.Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi...
Walijenga ukuta rasmi waliposhangilia kifo cha mwendazake. Pale walitakiwa wawarudishe watanzania pamoja kama ambavyo walikuwa wakisema taifa halipo pamoja.Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi....
Kaka kuisema CCM waziwazi namna hii si vizuri ni uchochezi mkubwa.Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi...
Acha uongo wanakijani wapo mstari wa mbele kuhujumu umoja wa kitaifa kwa manufaa wanayoyajua,halafu unazungumza habari za mafanikio ya wanakijani kwenye kujenga umoja wa kitaifa.Kaka kuisema CCM waziwazi namna hii si vizuri...ni uchochezi mkubwa.
Hip ndio uwezo wa kufikiri wa mwanakijani aliyepatiwa elimu bure.Hivi haya mavi yanatokeaje kwenye platform kama hii?
labda kimejenga uhasama na mumeoUmoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa....
kwani wewe hukushangilia? mumeo mwenyewe anaekupumulia kila siku alishangilia na kunywa bia mpaka asubuhiWalijenga ukuta rasmi waliposhangilia kifo cha mwendazake. Pale walitakiwa wawarudishe watanzania pamoja kama ambavyo walikuwa wakisema taifa halipo pamoja. Ilikuwa ni wakati wa kuyatenda waliyokuwa wanayahubiri na kuyalalamikia. Bahati mbaya wao na viongozi wao kwa pamoja wakaanza kumshambulia marehemu bila kujua adui yako ni rafiki wa mwenzio.
Walishindwa kabisa kuwin mentality za watanzania.
Hapo ndio unazijua akili za wanaojiita chadema. Sasa kwa nini watawala wasiwape kichapo ili kuzidhibiti akili zenu? Maana nyie wenyewe zimewashinda.kwani wewe hukushangilia? mumeo mwenyewe anaekupumulia kila siku alishangilia na kunywa bia mpaka asubuhi
Hichi ndicho kinanishangaza kwanini upinzani tanzania hawakioni kuwa wamepoteza kuungwa mkono na wananchi na sababu ni ujinga wa vyama vya upinzani kupinga maendeleoUmoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi...
mmeshapoteza mwelekeo mama jipangeni upya hakuna tishio lolote kwa chama tawala maana nyie wenyewe hamjui mnataka nini hasa yaani hamjielewiTunahitaji upinzani wa kweli kama chama chetu rafiki TLP ambacho mgombea wake wa uraisi ni huyo huyo mgombea wa CCM. Chadema ni tishio la mwisho wa utawala wetu.
Panapo majaliwa ya Muumba,2025 Wala Sio mbali.Wakati hUO Lisu Atakuwa keshapewa uenyekiti wa CHADEMA(Maana Mbowe alishasema 2022 anaachia uenyekiti kwa hiari).Hip ndio uwezo wa kufikiri wa mwanakijani aliyepatiwa elimu bure.
Panapo majaliwa ya Mola.Panapo majaliwa ya Muumba,2025 Wala Sio mbali.Wakati hUO Lisu Atakuwa keshapewa uenyekiti wa CHADEMA(Maana Mbowe alishasema 2022 anaachia uenyekiti kwa hiari).Hapo ndipo mtauona Moto wa Lisu Kama Mgombea.Moto uliowaka Zambia utawashwa Tzania na hakuna mgombea CCM atakayekuwa na kifua Cha kuuzima hUO moto(nyie CCM,wenyewe kwa wenyewe mtakuwa mmeshaparanganyika mkitafuta mgombea wenu).
nitajie nchi moja ya kiafrca ambayo haina watu wa dizaini hii kwanza inawezekana hii picha siyo ya tanzania kaeni mkijuwa hata marekani kuna maskini wa kutupwa lakini wanatoa misaada tanzania hayo ni mambo ya kawaida sana kwenye nchiKAULI YA UOGA DHIDI YA CHADEMA,CCM IMEWATIA UMASIKINI WANANCHI MIAKA YOTE 60 ONA MTOTO WA MASIKINI Baba yake ukimwona Utadhani Kichaa Kwa Umasikini Alionao Aliosababishiwa na CCMView attachment 1895160
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
mtakaa hivyo hivyo kusubiri ccm iparanganyike hamtaiona na 2025 wakati tunachukuwa madaraka kwa mara nyingine lissu atakuwa bado na siasa zake za kipumbavu na kukaa nje ya nchi yeye atakuwa bado anashawishi nchi za ulaya ziweke migomo kuisaidia tanzania sasa huyo mwananchi atakaye mpa kura mtu anayeihujumu nchi yake mwenyewe ni nani?Panapo majaliwa ya Muumba,2025 Wala Sio mbali.Wakati hUO Lisu Atakuwa keshapewa uenyekiti wa CHADEMA(Maana Mbowe alishasema 2022 anaachia uenyekiti kwa hiari).Hapo ndipo mtauona Moto wa Lisu Kama Mgombea.Moto uliowaka Zambia utawashwa Tzania na hakuna mgombea CCM atakayekuwa na kifua Cha kuuzima hUO moto(nyie CCM,wenyewe kwa wenyewe mtakuwa mmeshaparanganyika mkitafuta mgombea wenu).
Ndugu yangu,hata boya hupotea baharini kwa kuchukuliwa na mawimbi makali,ije kuwa wanakijani waliooacha kutumia akili kufikiri badala yake wanatumia tumbo.mtakaa hivyo hivyo kusubiri ccm iparanganyike hamtaiona na 2025 wakati tunachukuwa madaraka kwa mara nyingine lissu atakuwa bado na siasa zake za kipumbavu na kukaa nje ya nchi yeye atakuwa bado anashawishi nchi za ulaya ziweke migomo kuisaidia tanzania sasa huyo mwananchi atakaye mpa kura mtu anayeihujumu nchi yake mwenyewe ni nani?