mtayaongea sana hayo ndugu ccm iko palepale na na itaendelea kutawala maana iko ki taasisi nyie mko ki saccoss zaidi mbowe yuko ndani chama kimesimama hakuna kinachoendeleaNdugu yangu,hata boya hupotea baharini kwa kuchukuliwa na mawimbi makali,ije kuwa wanakijani waliooacha kutumia akili kufikiri badala yake wanatumia tumbo.
Sema iko kidola zaidi,na kimbambikizi kwa msaada wa vyombo saidizi.mtayaongea sana hayo ndugu ccm iko palepale na na itaendelea kutawala maana iko ki taasisi nyie mko ki saccoss zaidi mbowe yuko ndani chama kimesimama hakuna kinachoendelea
Afadhali umewafungua macho, wako kwenye usingizi wa ponoUmoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi...
Chadema ndio rafiki mkubwa na aliyebaki wa watanzania tuwaunge mkono kwa nguvu zetu zote mashujaa hawa chini ya kamanda Mbowe.Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi...
Mwendazake acha aende. Ni moja kati ya watu waliowafitinisha WaTz vibaya.Walijenga ukuta rasmi waliposhangilia kifo cha mwendazake. Pale walitakiwa wawarudishe watanzania pamoja kama ambavyo walikuwa wakisema taifa halipo pamoja. Ilikuwa ni wakati wa kuyatenda waliyokuwa wanayahubiri na kuyalalamikia. Bahati mbaya wao na viongozi wao kwa pamoja wakaanza kumshambulia marehemu bila kujua adui yako ni rafiki wa mwenzio.
Walishindwa kabisa kuwin mentality za watanzania.
Yuko ndani kwa sababu ya uoga wa watawala dhidi ya Cdm .mtayaongea sana hayo ndugu ccm iko palepale na na itaendelea kutawala maana iko ki taasisi nyie mko ki saccoss zaidi mbowe yuko ndani chama kimesimama hakuna kinachoendelea
Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Of course ni lazima kichukiwe. Chama Cha Mapinduzi - CCM ndicho kinachoharibu umoja huu kwa sababu ya uroho wa madaraka na ili kubaki madarakani, kinatumia hila zote ikiwemo kuua na kuumiza wanaowapinga, kuharibu chaguzi (rigging elections) kwa kutumia serikali na vyombo vya dola. Chama cha namna hii, hakiwezi kupendwa na watu na ndivyo ilivyo kwa CCM...Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi.
Ni kweli kila nchi inahitaji upinzani ili kuwa kama kioo kwa chama tawala. Lakini sio upinzani unaotishia na kupinga kila jambo linalofanywa na chama tawala.
Kupinga, ujenzi wa miradi mikakati, shule, hata sera na mipango madhubuti kwa taifa.
Huu ni UONGO mwingine wa mchana kweupe...!!Hiki kimesababisha CHADEMA kujenga uhasama kwa wananchi. Kwa ufupi kimechukiwa.
Haujui hata kuiponda Chadema,Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi.
Ni kweli kila nchi inahitaji upinzani ili kuwa kama kioo kwa chama tawala. Lakini sio upinzani unaotishia na kupinga kila jambo linalofanywa na chama tawala.
Kupinga, ujenzi wa miradi mikakati, shule, hata sera na mipango madhubuti kwa taifa. Hiki kimesababisha CHADEMA kujenga uhasama kwa wananchi. Kwa ufupi kimechukiwa.
Na kukukubaliana ndo upinzani halisi. Unadhani akina nyerere wangekuwa wanachekacheka tungefanikiwa?Kupingapinga ndio upinzani halisi?
Kama hajaelewa Hilo soma atakuwa Ana tatizo.Ni kweli umoja wa kitaifa ni muhimu
Of course ni lazima kichukiwe. Chama Cha Mapinduzi - CCM ndicho kinachoharibu umoja huu kwa sababu ya uroho wa madaraka na ili kubaki madarakani, kinatumia hila zote ikiwemo kuua na kuumiza wanaowapinga, kuharibu chaguzi (rigging elections) kwa kutumia serikali na vyombo vya dola. Chama cha namna hii, hakiwezi kupendwa na watu na ndivyo ilivyo kwa CCM...
Ni kama vile hujui hata dhana ya chama tawala na chama kilicho nje ya serikali (chama pinzani) na jinsi inavyofanya kazi..
Tangu lini chama tawala kikaunga mkono hoja za vyama vilivyo nje ya serikali? Unadhani hakijipendi siyo?
Viceversa yake ni kuwa, ni vigumu na haiwezekani kabisa chama kinachoongoza serikali/dola kukubaliwa na kuungwa mkono na chama kilicho nje ya serikali kwa sababu dhanà na maana nzima ya "chama tawala" na "chama cha upinzani" inajengwa katika dhana ya tofauti ya migongano ya KISERA na ITIKADI na MIPANGO...
Kwa dhana hii, chama tawala kikikosolewa sera na mipango na itikadi yake, basi chenyewe kitatafsiri kama ni shambulizi ya kuvunja umoja wa kitaifa na kitatumia kila njia haramu kujilinda...!!
Huu ni UONGO wa mchana kweupe na bahati mbaya umeshindwa kuupaka rangi vizuri uongo huu ili ufanane na ukweli japo kidogo...!!
CHADEMA hawapingi haya na wananchi wanaelewa hivyo....
CHADEMA na sisi wengine tusio wanaCHADEMA tunachopinga na kutokukubaliana ni njia za utekelezaji wa miradi hii ambayo msingi wake ni ubovu wa vipaumbele (priorities) vya nchi kwa wananchi...
Huu ni UONGO mwingine wa mchana kweupe...!!
Unapiga propaganda zilizoshindikana kufanya kazi kwa muda mrefu na kuikoa CCM. Ukisemacho hakipo na situation is contrary...
CHADEMA ni adui wa CCM na serikali....
Kinyume chake ni kuwa CHADEMA ni rafiki, mtetezi na tegemeo la wananchi wanyonge...
Na huu ndio msingi wa HOFU na WOGA wa CCM/serikali/dola kiasi cha kuanza kuitumia dola kwa maana ya (polisi, TISS, magereza, mahakama na DPP) vibaya kuumiza na kunyanyasa wananchi wote wasiowaunga mkono...!!
Ameenda sasa haya mbona hamuishi kulia lia.?Mwendazake acha aende. Ni moja kati ya watu waliowafitinisha WaTz vibaya.
Acha aende alifikiri ulimwengu unakomea kwake. Dunia ya Mungu nenda Polepole . Hakuna anayelia kwa taarifa yako . Nyie ndiyo mnahangaikaAmeenda sasa haya mbona hamuishi kulia lia.?
Nyie mmerelax? Mbona kama nyie ndio mnalia kila siku.?Acha aende alifikiri ulimwengu unakomea kwake. Dunia ya Mungu nenda Polepole . Hakuna anayelia kwa taarifa yako . Nyie ndiyo mnahangaika
Imejuaje kama wanalia mtoto wa kike ?!. Pamoja na kupora mchakato lakini bado hamtulii. Kila asubuhi ni kuanzisha nyuzi za hovyo kuhusu Cdm !!Nyie mmerelax? Mbona kama nyie ndio mnalia kila siku.?
Ukiona hivyo mjue ni wa hovyo. Kila siku mnalia nyie tu. Vita mnaanzisha wenyewe, mkipigwa d.o.l.e mnapiga keleleImejuaje kama wanalia mtoto wa kike ?!. Pamoja na kupora mchakato lakini bado hamtulii. Kila asubuhi ni kuanzisha nyuzi za hovyo kuhusu Cdm !!
🤣🤣🤣🤣 Yani nimecheka sana wananchi waichukie chadema waache kuchukia chama kilichomuua akwilina Ben Rabiu Saanane Azory Gwanda na kumpiga lisu risasi 16 mwilini kubambikia watu kesi nk 🤣🤣🤣🤣😅 be serious mkuuUmoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi.
Ni kweli kila nchi inahitaji upinzani ili kuwa kama kioo kwa chama tawala. Lakini sio upinzani unaotishia na kupinga kila jambo linalofanywa na chama tawala.
Kupinga, ujenzi wa miradi mikakati, shule, hata sera na mipango madhubuti kwa taifa. Hiki kimesababisha CHADEMA kujenga uhasama kwa wananchi. Kwa ufupi kimechukiwa.
Nilikuwa Lusaka miaka 2 iliyopita - wakati ule mitaani tulikuwa tukiwasikia wafuasi wa rais aliyeng'olewa kwa aibu (Edgar Lungu) walikuwa wakitoa dhihaka za hivi hivi kwa chama cha rais mpya Hakainde Hichilema.Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa.
Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi.
Ni kweli kila nchi inahitaji upinzani ili kuwa kama kioo kwa chama tawala. Lakini sio upinzani unaotishia na kupinga kila jambo linalofanywa na chama tawala.
Kupinga, ujenzi wa miradi mikakati, shule, hata sera na mipango madhubuti kwa taifa. Hiki kimesababisha CHADEMA kujenga uhasama kwa wananchi. Kwa ufupi kimechukiwa.
Kupingapinga ndio upinzani halisi?