CHADEMA ilishajenga uhasama na wananchi, kujinasua ni ngumu sana


 
Kuna uzi unatolewa huku ame alert wachangiaji,yaani ukisoma tu unajuwa hawa jamaa wapo pamoja sahii na wanadiscuss namna ya kuchangia watu kama hawa unawaacha usichangie uzi hauchuki round unakufa
CHADEMA inapendwa sana na wananchi. Wewe kumbuka zile faini za mamilioni zilichangwa na wananchi ndani ya wiki moja na wote wakatoka.
 
Point.
 
Na wewe nae ni expert member!?
Mod. ebu tueleweshe hizo criteria maana naona aibu kuwa daraja moja na mtoa uzi huu.
 
Sisi hatuna uhasama na CHADEMA hatuwalipi kodi wala hawatulipishi tozo,tuna uhasama na watoza kodi tu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Adui namba mmoja wa mtanzania,ni wanakijani wambambikiaji na waonevu wa raia wa taifa letu.
 
Kesho tunamzika kada na bendera za ccm,alikua greenguard na kiongozi shupavu tawi la ilala...Hamza a.k.a rambo au kiboko ya policeccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…