- Thread starter
- #21
Waliopo wamedhibitiwa akitoa kichwa tu anagongwa nyundo.kwa hiyo Wameisha wasaliti wote?
au tuwekee wasaliti waliobaki tuwajue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliopo wamedhibitiwa akitoa kichwa tu anagongwa nyundo.kwa hiyo Wameisha wasaliti wote?
au tuwekee wasaliti waliobaki tuwajue
Msaliti ni msaliti tu.Halima Mdee et al watoe kwenye list, their case is special
Mbowe ni akili kubwa wewe. Yaani unamweka kapu moja na Mrema, acha hizo mkuu. Unakumbuka siku ile alipopewa nafasi ya kusalimia kwenye maadhimisho ya Uhuru alivyosema kwa habari ya kupendana na kuridhiana kama watanzania kwa manufaa mapana ya Taifa? Kipindi kile cha yule mzee aliyekufa.Wewe ndiyo unajidanganya ili uipe faraja nafsi yako na wanaokutuma.
Kama yeye katika bei kwann aitwe ikulu? Mbona hajaitwa mrema? Au lyatonga siyo mpinzani???
Mkuu sijamlinganisha mbowe na mrema kwa bahati mbaya. Nilimjibu hugo jamaa kwamba kama anafikiri mbowe kashafika bei tu kwakuwa anakwenda ikulu. Mashauri aitwe lyatonga kwani na yeye si mpinzani? Mbona Haiti anaitwa mbowe na viongozi wenzie.Mbowe ni akili kubwa wewe. Yaani unamweka kapu moja na Mrema, acha hizo mkuu. Unakumbuka siku ile alipopewa nafasi ya kusalimia kwenye maadhimisho ya Uhuru alivyosema kwa habari ya kupendana na kuridhiana kama watanzania kwa manufaa mapana ya Taifa? Kipindi kile cha yule mzee aliyekufa.
the rock of the north!
JESUS IS LORD
Ndio maana hata Jpm aliamini kumpata Mbowe cha kwanza ni kummaliza kiuchumi.Wewe ndiyo unajidanganya ili uipe faraja nafsi yako na wanaokutuma.
Kama yeye katika bei kwann aitwe ikulu? Mbona hajaitwa mrema? Au lyatonga siyo mpinzani???
Bila kuwa na taasisi imara Chadema ilitakiwa kufa kabla ya uchaguzi wa 2015[emoji1545][emoji1545][emoji1534]Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema.
Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa, Sumaye, Kitila Mkumbo, Mwampamba, Halima Mdee, Ester Bulaya, orodha ni ndefu.
Bila kuwa na taasisi imara Chadema ilitakiwa kufa kabla ya uchaguzi wa 2015.
Waliopo wamedhibitiwa akitoa kichwa tu anagongwa nyundo.
Hivi alipovunjiwa Bilcanas,kufungiwa gazeti lake,kuharibiwa mashamba na biashara zake hatimaye kubambikiwa kesi ya uhujumu licha kufungwa jela awali "alipiga fedha" kiasi ganiUmemsahau Mbowe, yeye ndio enginia wa kila kitu. Na hakuna ajustment anafanya bila kupiga pesa
Aliyemleta na kumpigania Lowasa ndani ya chadema ni Tundu Lisu, huwezi mtenganisha Tundu Lisu na fate ya chadema!
Nikweli Mkuu maana yule kawekwa ki mkakati,thithiem ni watu hatari sanaRubbish, bila Mbowe kungelijuwa hakuna CHADEMA
Ulitaka ulowe nini.mshika nyundo mkono wenyewe umeloa asali
Propaganda ya kizamani sana hii tafuta mpya.Nikweli Mkuu maana yule kawekwa ki mkakati,thithiem ni watu hatari sana
Acha kupotosha mkuu, haimanishi Kila anayetofoutiana na mkti wa chadema ni msalitiHebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema.
Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa, Sumaye, Kitila Mkumbo, Mwampamba, Halima Mdee, Ester Bulaya, orodha ni ndefu.
Bila kuwa na taasisi imara Chadema ilitakiwa kufa kabla ya uchaguzi wa 2015.
Unawajua MM, M1, M2 na M3 unajua walitaka kufanya mapinduzi, kwhy unataka kutuambia hivyo ndivyo kutofautiana kimawazo.Acha kupotosha mkuu, haimanishi Kila anayetofoutiana na mkti wa chadema ni msaliti
Ifike mahali tuheshimu michango ya watu wengine kwenye chama hata Kama tanatofautiana nao
Hili neno usaliti limetumika vibaya Sana kwa wanachama wenye mawazo tofauti
Sijui tunatengeneza demokrasia gani ya chama
Tunaonyesha tofauti gani na chama tawala kinachowatesa wapinzani ?
Kwa mawazo haha ya kuona Kila mtu msaliti
Inaonyesha mkipewa utawala mtakuwa wa Kwanza kufungia vyama vya upinzani na kuwatesa
Kwa kuwaita wasaliti
Badilikeni
Chadema haiwezi kufa..katoka nduki mwenda..miaka 6 kasota kashindwaHebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema.
Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa, Sumaye, Kitila Mkumbo, Mwampamba, Halima Mdee, Ester Bulaya, orodha ni ndefu.
Bila kuwa na taasisi imara Chadema ilitakiwa kufa kabla ya uchaguzi wa 2015.
Mchagga Mbowe hawezi kuacha kitega uchumi chake kinachompa mabilioni ya bure bure.Mbowe siyo masikini na wala hatuonani na masikini kama babu yako kule kijijini. Ndo maana imeshindikana kumnunua na ccm na magufuli wakaishia kuwanunua kina waitara ( najua historia yake) na kuwapa ubunge
Sasa hivi Chadema ipo?Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema.
Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa, Sumaye, Kitila Mkumbo, Mwampamba, Halima Mdee, Ester Bulaya, orodha ni ndefu.
Bila kuwa na taasisi imara Chadema ilitakiwa kufa kabla ya uchaguzi wa 2015.
Mbona sasa mmegeuka mamluki wenyewe kwa wenyewe.Sasa hivi viongozi wenu ni makada wa CCM kutwa wanalamba asali.Yaani CCM ihangaike kuiua Chadema???? Lichama mnalikata shoka wenyewe kwa ulafi wa asaliHebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema.
Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa, Sumaye, Kitila Mkumbo, Mwampamba, Halima Mdee, Ester Bulaya, orodha ni ndefu.
Bila kuwa na taasisi imara Chadema ilitakiwa kufa kabla ya uchaguzi wa 2015.
HaipoSasa hivi Chadema ipo?