Acha kupotosha mkuu, haimanishi Kila anayetofoutiana na mkti wa chadema ni msaliti
Ifike mahali tuheshimu michango ya watu wengine kwenye chama hata Kama tanatofautiana nao
Hili neno usaliti limetumika vibaya Sana kwa wanachama wenye mawazo tofauti
Sijui tunatengeneza demokrasia gani ya chama
Tunaonyesha tofauti gani na chama tawala kinachowatesa wapinzani ?
Kwa mawazo haha ya kuona Kila mtu msaliti
Inaonyesha mkipewa utawala mtakuwa wa Kwanza kufungia vyama vya upinzani na kuwatesa
Kwa kuwaita wasaliti
Badilikeni