CHADEMA ilitakiwa kufa 2014, wafuatao ni Wasaliti wakuu na Mamluki waliopandikizwa

Mbona sasa mmegeuka mamluki wenyewe kwa wenyewe.Sasa hivi viongozi wenu ni makada wa CCM kutwa wanalamba asali.Yaani CCM ihangaike kuiua Chadema???? Lichama mnalikata shoka wenyewe kwa ulafi wa asali
Kwani CCM na Chadema zimeanza kukutana leo.
 
KARATU na Ngorongoro ni ndugu wa damu, ukimya wa Dr Mihogo unaleta harufu ya USALITI. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…