Pre GE2025 Viongozi wa CHADEMA wateta na Balozi wa Norway kuhusu mfumo wa uchaguzi na demokrasia. Waifikisha 'No Reform No Election'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA, Mhe. John Heche, Mhe. Amani Golugwa, na Mhe. Godbless Lema, walikutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tine Tonnes, katika makazi ya balozi Oysterbay, Jijini Dar es Salaam.

1740490015545.png
Katika mazungumzo hayo, Lissu na ujumbe wake walijadili msimamo wa chama cha CHADEMA wa "No Reform No Election" na umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kusaidia Tanzania kuwa na mfumo wa uchaguzi wa haki, wazi, na wa kuaminika.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Balozi Tonnes alimuhakikishia Mhe. Lissu kuwa Norway itaendelea kuwa rafiki wa Tanzania katika kudumisha demokrasia na maendeleo.

Screenshot 2025-02-25 162303.png
Soma, Pia
 
Ni jambo zuri sana. Ila kwanini Lema ashikilie mkono wa huyo mama?
 
..wasisahau kwenda kwa Mabalozi waliofanya mazungumzo na Mzee Steven Wassira.
 
Sidhani kama uchaguzi bado inafadhiliwa na Mabeberu

2020 Shujaa aliendesha uchaguzi Kwa Fedha za ndani zinazokusanywa na TRA 🐼
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA, Mhe. John Heche, Mhe. Amani Golugwa, na Mhe. Godbless Lema, walikutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tine Tonnes, katika makazi ya balozi Oysterbay, Jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, Lissu na ujumbe wake walijadili msimamo wa chama cha CHADEMA wa "No Reform No Election" na umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kusaidia Tanzania kuwa na mfumo wa uchaguzi wa haki, wazi, na wa kuaminika.

Balozi Tonnes alimuhakikishia Mhe. Lissu kuwa Norway itaendelea kuwa rafiki wa Tanzania katika kudumisha demokrasia na maendeleo.

CHADEMA inaongozwa na matapeli wa kisiasa
 
Yaani Serikali inayokusanya Trillion 2 kwa mwezi ishindwe kugharamia billion 400 za uchaguzi?😀
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA, Mhe. John Heche, Mhe. Amani Golugwa, na Mhe. Godbless Lema, walikutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tine Tonnes, katika makazi ya balozi Oysterbay, Jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, Lissu na ujumbe wake walijadili msimamo wa chama cha CHADEMA wa "No Reform No Election" na umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kusaidia Tanzania kuwa na mfumo wa uchaguzi wa haki, wazi, na wa kuaminika.

Balozi Tonnes alimuhakikishia Mhe. Lissu kuwa Norway itaendelea kuwa rafiki wa Tanzania katika kudumisha demokrasia na maendeleo.

MMELIWA HAPO BALOZI KASEMA ITAENDELEA KUWA MWEMA KWA TANZANIA KESHO NA KESHOKUTWA UTASIKIA NORWAY YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUDUMISHA DEMOCRASIA
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA, Mhe. John Heche, Mhe. Amani Golugwa, na Mhe. Godbless Lema, walikutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tine Tonnes, katika makazi ya balozi Oysterbay, Jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, Lissu na ujumbe wake walijadili msimamo wa chama cha CHADEMA wa "No Reform No Election" na umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kusaidia Tanzania kuwa na mfumo wa uchaguzi wa haki, wazi, na wa kuaminika.

Balozi Tonnes alimuhakikishia Mhe. Lissu kuwa Norway itaendelea kuwa rafiki wa Tanzania katika kudumisha demokrasia na maendeleo.

Mungu wabariki Wazungu
 
Mifumo ya uchaguzi ikiwa huru na ya haki!
CCM itaondoka madarakani October 2025.
 
Sidhani kama uchaguzi bado inafadhiliwa na Mabeberu

2020 Shujaa aliendesha uchaguzi Kwa Fedha za ndani zinazokusanywa na TRA 🐼

Panoja na hilo, Tanzania bado ni Mfaidika number 1 wa misaafa ya Mabeberu Afrika. Sijui tulifanyaje kufanikisha hilo. Hata nchi maskini kama Burundi, Malawi na Mozambique hawapati chsge kama sisi.
 
Mifumo ya uchaguzi ikiwa huru na ya haki!
CCM itaondoka madarakani October 2025.

..Kwa upande wa Tanganyika Ccm hawataondoka, isipokuwa hakutakuwa na ushindi wa asilimia 99%, na udhalimu wakati wa uchaguzi.

..Zanzibar ndiko ambako CCM watashindwa, na hawataweza kujitangaza washindi.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA, Mhe. John Heche, Mhe. Amani Golugwa, na Mhe. Godbless Lema, walikutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tine Tonnes, katika makazi ya balozi Oysterbay, Jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, Lissu na ujumbe wake walijadili msimamo wa chama cha CHADEMA wa "No Reform No Election" na umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kusaidia Tanzania kuwa na mfumo wa uchaguzi wa haki, wazi, na wa kuaminika.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Balozi Tonnes alimuhakikishia Mhe. Lissu kuwa Norway itaendelea kuwa rafiki wa Tanzania katika kudumisha demokrasia na maendeleo.

Soma, Pia
Undhani Norway itafanya nini? Ndiyo strategy hiyo? Rubbish!
 
Ulaya inaenda kubadilika au ishaanza kubadilika.

Ukiyafuatilia na Ukizingatia aliyokuwa akisema Rais wa Marekani, Makamu Rais wa Marekani, pamoja na vyama vya upinzani ulaya, utagundua kuwa Nchi hizo za Ulaya zinaenda kugeuka na kukumbatia siasa na itikadi za mrengo wa kulia. "COUNTRY FIRST"

Itikadi za mrengo wa kulia na wafuasi wake, hawataki katukatu kusikia nchi zao zinagaia fedha zao za walipa kodi, nje ya nchi zao kwa kigezo cha kuboresha Democrasia nje ya nchi zao. Wanachotaka ni Viongozi wao kuboresha na kunyoosha Democrasia zao wenyewe kwanza.

kwa msingi huo, Mh. TAL ataondoka kapa tu huko na kuiabisha nchi yetu na hata yeye mwenyewe. Maoni yangu.

Itoshe, hii itawapatia Internet Trolls, vibaraka wa mabeberu, mamluki na maadui zetu, kuendelea kutuzodoa, kutunyanyasa, kutusengenya na kutukejeli kuwa "Hatuezi jifanyia chechote kile bila ya Wazungu"

Naamini watu wa Ulaya na serikali zao, washajichokea na mapungufu yetu.
#########
Unafikiri TAL amewahaidi nn wa Norway iwapo akichaguliwa kuwa Raisi? Mashamba yaliyoko Singida?
 
Back
Top Bottom