Yeye Kassim Majaliwa alipomaliza certificate ya ualimu ni kwa nini hakwenda veta ili awe fundi seremala?Waziri yupo sahihi asilimia zote mia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye Kassim Majaliwa alipomaliza certificate ya ualimu ni kwa nini hakwenda veta ili awe fundi seremala?Waziri yupo sahihi asilimia zote mia
Yeye Kassim Majaliwa alipomaliza certificate ya ualimu ni kwa nini hakwenda veta ili awe fundi seremala?Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA ile sio tu ya kijana wa darasa la 7 hata wewe uliyemaliza Degree uwe mtaalamu wa Kompyuta nenda kajifunze kushona nguo, uwe fundi cherehani, nenda kajifunze ufundi umeme uwe fundi umeme kwahiyo hata mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kwenda kusoma VETA kwasababu pale unasemea ufundi"
Kuna uwezekano mkubwa baada ya yeye kumaliza hiyo certificate akaenda kuitumikia taaluma yake ya ualimu!!Yeye Kassim Majaliwa alipomaliza certificate ya ualimu ni kwa nini hakwenda veta ili awe fundi seremala?