Pre GE2025 Viongozi wa CHADEMA wateta na Balozi wa Norway kuhusu mfumo wa uchaguzi na demokrasia. Waifikisha 'No Reform No Election'

Pre GE2025 Viongozi wa CHADEMA wateta na Balozi wa Norway kuhusu mfumo wa uchaguzi na demokrasia. Waifikisha 'No Reform No Election'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.

"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA ile sio tu ya kijana wa darasa la 7 hata wewe uliyemaliza Degree uwe mtaalamu wa Kompyuta nenda kajifunze kushona nguo, uwe fundi cherehani, nenda kajifunze ufundi umeme uwe fundi umeme kwahiyo hata mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kwenda kusoma VETA kwasababu pale unasemea ufundi"

Yeye Kassim Majaliwa alipomaliza certificate ya ualimu ni kwa nini hakwenda veta ili awe fundi seremala?
 
Yeye Kassim Majaliwa alipomaliza certificate ya ualimu ni kwa nini hakwenda veta ili awe fundi seremala?
Kuna uwezekano mkubwa baada ya yeye kumaliza hiyo certificate akaenda kuitumikia taaluma yake ya ualimu!!
 
Back
Top Bottom