CHADEMA imeishiwa kupendwa wabunge wote wanaohama vyama mbalimbali hakuna anayeenda CHADEMA wanaenda vyama vingine

CHADEMA imeishiwa kupendwa wabunge wote wanaohama vyama mbalimbali hakuna anayeenda CHADEMA wanaenda vyama vingine

Chadema washatoa mimba kama sita hivi.haina kizazi tena.wajuba wanaenda kwa vitoto chuchu saa sita ACT,NCCR na CUF
 
Mbona hamji,,,!!weekend hii mpo bar mnakula mende nini?
Chadema inaongozwa na mlevi.kampiga pumbu dadaangu kamzalisha alafu kamtelekeza.
 
Chadema kipo kwenye risk ya kupoteza idadi ya wabunge 2020 kutokana na historia ya uhujumu kwani hata kwenye serkal za mitaa tumeona, hivyo ni wabunge wachache wenye uthubutu wa kuhamia. Ila pia sera za Act na Cuf zinafanana na kundi kubwa la wabunge ni team maalim seif kwahyo sidhani kama hilo ni suala gumu kuelewa.
 
Back
Top Bottom