YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
Moja ya sifa ya chama kupendwa ni kuangalia wabunge wahama vyama
CHADEMA imepoteza mvuto wa kupendwa. Wabunge wake wengi wanaondoka chadema kwenda vyama vingine na wanaohama vyama vingine hakuna hata mmoja hadi sasa aliyehama chama chochote kuelekea chadema!!
Hata chama kidogo Kama ACT Wazalendo kimepokea wabunge wahamaji toka CUF 21 chadema hakuna hata mmoja aliyeenda.
CHADEMA Kinapoteza wabunge wake lakini hakipati hata mmoja toka huko vyama vingine. Huu ni ushahidi kuwa hakipedwi tena na hakina mvuto. Mwenye macho haambiwi tazama