Mbowe yule mliyesema amekaa madarakani muda mrefu na kwamba chadema ni Mali yake leo amegeuka ShujaaJK -Mlimuita mpole
JPM-Mkasema dikteta
SSH-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
Yawezekana pia hujui maana ya AGENDA ?? Ndo mana badala ya kuwajibu chadema kisiasa mnakimbilia police?JK -Mlimuita mpole
JPM-Mkasema dikteta
SSH-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
Mafindoa'nokho nyanda!JK -Mlimuita mpole
JPM-Mkasema dikteta
SSH-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
bahati nzuri jingalao ndo jina lako ningesema kituJK -Mlimuita mpole
JPM-Mkasema dikteta
SSH-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
Mwenye uwezo wa kununulika?leo mbowe siyo GAIDI TENA?Ni kweli alikuwa madarakani muda mrefu kwa kuwa alijua hakuna mwenye uwezo
baada ya kuona total failure in no time bora mumrudie na kumpigia magoti MboweMwenye uwezo wa kununulika?leo mbowe siyo GAIDI TENA?
Hahahaha wewe una shida mahala kichwani? Kwahiyo wewe kazi yako ni kuwachagulia chadema kiongozi awe nani???
Sasa hao wenye AGENDA wamezifanyia nn mbona dawa hakuna hospital?AGENDA ZA WANANCHI ni UCHUMI,AFYA,ELIMU N.K
UCHAGUZI HAUJAWAHI KUWA AGENDA YA WANANCHI
Leo umeingia kwenye joto? Itafutiwe dume ama utawekewa kwa mrija? Huna haya mwana mtoka pabaya.JK -Mlimuita mpole
JPM-Mkasema dikteta
SSH-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
Siyo gaidi tena? Au siyo wewe uliyekuwa unamuita gaidi humu? Kamuombe msamaha kwanza na kama uaona anafaa sana mwambie ufunge nae ndoa kabisabaada ya kuona total failure in no time bora mumrudie na kumpigia magoti Mbowe
Sasa wewe mbona una first class ya ukilazs?? Mara gaidi mara Shujaa. Mara kakaa muda mrefu Mara hakuna wa kuongoza mtu huyo mmoja!!??Matusi hayanitoagi kwenye mada ...mliachiwa sana nyie vilaza na viroboti vyenu
Kwani unadhani lissu mmemchagua??ha ha haSasa wewe mbona una first class ya ukilazs?? Mara gaidi mara Shujaa. Mara kakaa muda mrefu Mara hakuna wa kuongoza mtu huyo mmoja!!??
Kamwambie mbowe akukune. Huna uwezo wa kuwachqgulia chadema kiongozi wewe mwizi mkubwa