Kwa sasa ndio sura yao imeonekana hivyo wanachama waone wawe pamoja au waachane naoUko sahihi.Viongozi wa Sasa wa CHADEMA wanaangamiza chama.Uongozi ni hekima na busara
Kwa sasa ndio sura yao imeonekana hivyo wanachama waone wawe pamoja au waachane naoUko sahihi.Viongozi wa Sasa wa CHADEMA wanaangamiza chama.Uongozi ni hekima na busara
Una uhakika 2030 kitakuwepo au kitakuwa kama tlpAgenda ya CDM imeheshiwa na hawatashiriki uchaguzi, mpaka kuwe na reforms, nadhani itakuwa ni uchaguzi wa 2031
..hoping kita surviveUna uhakika 2030 kitakuwepo au kitakuwa kama tlp
Jakaya Kikwete -Mlimuita mpole
John Pombe Magufuli -Mkasema dikteta
Samia Suluhu Hassan-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
🤣 🤣 🤣Jakaya Kikwete -Mlimuita mpole
John Pombe Magufuli -Mkasema dikteta
Samia Suluhu Hassan-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
🤔 🙄🙄🔊AGENDA ZA WANANCHI ni UCHUMI,AFYA,ELIMU N.K
UCHAGUZI HAUJAWAHI KUWA AGENDA YA WANANCHI
Nyie ni shetaniJakaya Kikwete -Mlimuita mpole
John Pombe Magufuli -Mkasema dikteta
Samia Suluhu Hassan-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
Sidhani...maana tl hawezi kucompromise kama mb na unajaua siasa ni namna ya kuwashirikisha watu waone kama wana maamuzi..ningeweza kuwashauri ni kuweka influence sawa kwenye vyama vyote ili gvt machinery iweze kucontrol huku maslahi ya taifa yakilindwa. Kwa sasa kuna loope hole kubwa sana ya kutokea yale ya drc , infiltration kupitia sympathy..hoping kita survive