CHADEMA imekosa Agenda za kisiasa, inatafuta chaka la kujifichia!

CHADEMA imekosa Agenda za kisiasa, inatafuta chaka la kujifichia!

baada ya kuona total failure in no time bora mumrudie na kumpigia magoti Mbowe
Haya ni matunda ya kiongozi asiyefaa aliyewahi kuitawala Tanzania.
Magufuli na ujinga wake wote hajawe!za kuiua chadema itakuwa wewe kilaza mpiga zumari??
 
JK -Mlimuita mpole
JPM-Mkasema dikteta
SSH-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
No Reforms No Elections
 
Kwani unadhani lissu mmemchagua??ha ha ha
Unajicheka mwenyewe kwa ajili ya ujinga wako??? Ipo siku na lisu utamwita Shujaa kama uavyofanya leo kwa mbowe uliyemtukana na kumuita GAIDI hapa hapa jf.
 
Watanzania wameitupa kula ...badilisheni slogan mlete nyingine itatupwa kule
Watanzania wajinga kama wewe ndiyo wameitupa? Kama wameitupa yale majibwa pale kisutu yalienda kufanya nini? Kuiba kura kama ccm?
 
Yaani mnajichorea Kivuli cha shetani halafu mnaanza kukipiga mawe?
hatuwazi agenda za chadema kwa sasa, tuko kwenye tafakuri kubwa kuhusu matukio yaliyotokea yanahitaji kutafakari pakubwa ili kufanya maamuzi mujarabu
 
hatuwazi agenda za chadema kwa sasa, tuko kwenye tafakuri kubwa kuhusu matukio yaliyotokea yanahitaji kutafakari pakubwa ili kufanya maamuzi mujarabu
Wazee wa matukio
 
Unajicheka mwenyewe kwa ajili ya ujinga wako??? Ipo siku na lisu utamwita Shujaa kama uavyofanya leo kwa mbowe uliyemtukana na kumuita GAIDI hapa hapa jf.
unadhani lissu mmemchagua??
 
JK -Mlimuita mpole
JPM-Mkasema dikteta
SSH-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
Jingalao hawezi kuwa na akili timamu
 
JK -Mlimuita mpole
JPM-Mkasema dikteta
SSH-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
Wanataka kutumia kichaka cha Kanisa Katoliki kujifichia. Hawajui nacho kinaweza kuchomwa moto! Nyambafu!!
 
Agenda ya CDM imeheshiwa na hawatashiriki uchaguzi, mpaka kuwe na reforms, nadhani itakuwa ni uchaguzi wa 2031
Rais wa TEC, Askofu Pisa apingana na polisi, asema taarifa yao kuwa Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji wakati anashambuliwa ni Upotoshaji
 
Jakaya Kikwete -Mlimuita mpole
John Pombe Magufuli -Mkasema dikteta
Samia Suluhu Hassan-ndio mnataka kumtafutia jina

Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
Uko sahihi.Viongozi wa Sasa wa CHADEMA wanaangamiza chama.Uongozi ni hekima na busara
 
Back
Top Bottom