Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Haya ni matunda ya kiongozi asiyefaa aliyewahi kuitawala Tanzania.baada ya kuona total failure in no time bora mumrudie na kumpigia magoti Mbowe
Yule kachaguliwa na malaika! Unafikiri hatujui mliokuwa mnafanya ili asishinde?Kwani unadhani lissu mmemchagua??ha ha ha
No Reforms No ElectionsJK -Mlimuita mpole
JPM-Mkasema dikteta
SSH-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
Imepigwa nyundoWatanzania wameitupa kula ...badilisheni slogan mlete nyingine itatupwa kule
Unajicheka mwenyewe kwa ajili ya ujinga wako??? Ipo siku na lisu utamwita Shujaa kama uavyofanya leo kwa mbowe uliyemtukana na kumuita GAIDI hapa hapa jf.Kwani unadhani lissu mmemchagua??ha ha ha
Watanzania wajinga kama wewe ndiyo wameitupa? Kama wameitupa yale majibwa pale kisutu yalienda kufanya nini? Kuiba kura kama ccm?Watanzania wameitupa kula ...badilisheni slogan mlete nyingine itatupwa kule
Na police wa ccmImepigwa nyundo
hatuwazi agenda za chadema kwa sasa, tuko kwenye tafakuri kubwa kuhusu matukio yaliyotokea yanahitaji kutafakari pakubwa ili kufanya maamuzi mujarabuYaani mnajichorea Kivuli cha shetani halafu mnaanza kukipiga mawe?
Jingalao hawezi kuwa na akili timamuJK -Mlimuita mpole
JPM-Mkasema dikteta
SSH-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
Wanataka kutumia kichaka cha Kanisa Katoliki kujifichia. Hawajui nacho kinaweza kuchomwa moto! Nyambafu!!JK -Mlimuita mpole
JPM-Mkasema dikteta
SSH-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
Kabisa waongo sana eti wizi wa eti kura ambazo zingwapeleka ikulu zilihamishiwa CCM
Agenda ya CDM imeheshiwa na hawatashiriki uchaguzi, mpaka kuwe na reforms, nadhani itakuwa ni uchaguzi wa 2031No Reforms No Elections
Rais wa TEC, Askofu Pisa apingana na polisi, asema taarifa yao kuwa Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji wakati anashambuliwa ni UpotoshajiAgenda ya CDM imeheshiwa na hawatashiriki uchaguzi, mpaka kuwe na reforms, nadhani itakuwa ni uchaguzi wa 2031
Uko sahihi.Viongozi wa Sasa wa CHADEMA wanaangamiza chama.Uongozi ni hekima na busaraJakaya Kikwete -Mlimuita mpole
John Pombe Magufuli -Mkasema dikteta
Samia Suluhu Hassan-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.