Mulokozijr12,
Dhambi zenu ndiyo zinaleta majanga kabisa..Hivi kwa akili yako unaweza kutueleza kwa ukweli kua hao wapinzani wetu wanashangilia ili janga? Hivi wao kutoa mawazo yao kama lockdown ina maana wana support kuwepo ili janga?
Kenya, S.Africa, Uganda, Botswana, Rwanda, England, Spain wameweka lockdown je,CHADEMA ndiyo wamewashauri hivi?
Kwa upumbavu wa hivi unastahili kujifunza jinsi ya kufanya siasa wala siyo upuuzi kama huu...nyie ndiyo mlimpigia makofi na vigelegele Pole Pole alipowaita CHADEMA NI COVID-19