Uchaguzi 2020 Chadema imekosa ajenda za msingi ya kupambana na chama tawala!

Uchaguzi 2020 Chadema imekosa ajenda za msingi ya kupambana na chama tawala!

Kwa uongozi mbovu wa serikali hii huwezi kukosa ajenda ya kuikosoa. Tatizo ni moja tu; harakati za siasa ziko "lockdown".
 
Kwel slowslow amekusanya mazoba kwa hyo mikutano inazuia maendeleo?
Naomba uelewe CCM ndio chama ambacho kimepewa madaraka ya kuongoza nchi. Wanapopewa hayo madaraka Katibu mkuu na Katibu mwenezi lazima wazunguke kuhakikisha kama ilani ya CCM inatekelezwa.Kwa hiyo sio kama amezuia wengine na kuruhusu chama chake tu.
Kuhusu ni ibara ipi ya katiba nafikiri kasome ibara ya 30(1) ambayo inaweka wazi The human rights and freedoms ,the principles of which are set out in this constitution,shall not be exercised by a person in a manner that causes interference or curtailment of rights and freedoms of other persons or of public interest.
Kwa hiyo ili kuondoa interference ya public interest ili aweze kufanya kazi ndio maana alizuia mikutano ya kisiasa ili afanye kazi ambazo kila mtu anaziona. Kwa hiyo sio kwamba sababu una haki ya kukusanyika na kufanya mikutano. Kama itakuwa na athari kwa manufaa ya umma na kuzuia maendeleo yasifanyike inaweza ikatoka amri,ili mradi isiwe kinyume na katiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom