Nmeshindwa hata kumaliza hilo gazeti lako...lini au nani mwanachadema katoa kauli ya kuliombea taifa lizidi kupata majanga ya Covid19? Mbona watanzania mmeishiwa utu na kuwa mnapenda huu ujinga wa cheap popularity?
Most of CDM leaders wamekuwa wakitoka hadhari na kusisitiza serikali iongeze juhudi katika kupambana na Covid19 na huku baadhi ya viongozi wenye dhamana ya mikoa wakiongea tena kwenye media kuwa corona isituogopeshe ni ugonjwa wa kumalizwa na maji ya kunawa na sabuni tu? Au huyo nae ni kiongozi au mwanachama wa CDM?
Mheshimiwa mwingine kashauri serikali isitangaze wagonjwa wapya na itangaze wanaopona na wanaofariki tu?
Hizo akili kama ndo mleta mada unaona zinafaa tuambie ili tujue viongozi wa CDM wanachopigia kelele hakifai bora tuendelee tu kunawa na kuachana na tahadhari zingine kwa vile corona dawa yake ni maji na sabuni...
Ovyo kabisa halafu unatuletea gazeti kutaka kutugawa hapa ukifikilia unawin majority katika siasa zako za kipuuzi.....
You better zip your lips waachie wataalamu na waziri mwenye dhamana...
Bangladesh....
Sent using
Jamii Forums mobile app