Uchaguzi 2020 Chadema imekosa ajenda za msingi ya kupambana na chama tawala!

Lazma yafanyike kwakua watanzania wanalipa kodi pia ni wajibu wa Serikali iliyoko marakani. Uliwai kulisifia jua?
Yalipokuwa hayafanyiki kwa kasi kama hii mlitukana na kuibeza sana CCM hadi mkawa mnasema ni chama cha wala rushwa,leo mnasema lazima yafanyike! Kasi hii ni kwa utashi wa mtu aliyeshika usukani. Ndio maana amekubalika sana. Maana vituo vya afya 400+ ndani ya miaka minne. Sio kawaida (mfano mmoja tu).
 
Umethibitisha vipi Kama cdm ndio wameombea mabaya.Siasa zilizuiwa kwa upinzani pekee kumbuka Hilo.Ccm wamefanya nchi nzima plus mwenyekiti akizunguka nchi nzima kufanya siasa vipi kipi kimekwamishwa
Lakini si aliruhusu kwa wabunge kufanya majimboni kwenu? Katibu mwenezi anazunguka kukagua kama ilani inatekelezwa ya chama chake Mwenyekiti anazunguka kama mkuu wa nchi na hapo ndio anawatumikia watu wote haijalishi ni wa chama gani. Na hata ilani ya CCM inapotekelezwa watanzania wote tunanufaika kwa pamoja. Haijalishi wewe ni Ccm au Chadema.
 
CCM jibuni tuhuma za SiAGii msijibadaguze....ni tuhuma nzito mno kama mkigoma tunawaita IFM ili ije kulichunguza jungu letu kuu la kutunzia ukoko!!
 
Kuzuia wengine isipokuwa wa chama chake kufanya siasa. Hivi alitumia au mlitumia sheria ipi? Kifungu gani cha katiba ya JMT?
 
kusema chadema ni kama covid_19 ni siasa zisizo na staha kwa maana nyingine serikali inatumia siasa kupambana na hili jambo kitu ambacho sio sahihi hii ni kwamujibu wa mada yako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VIP ripoti za CAG h
 

Yote Kama hayaondolei watu umasikini ni bure
 
Upuuzi mtupu, bila police_ccm mpo kweli nyie??
 
Wewe mbweha ebu ficha ufala wako hujuia kuwa kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kwa kila jambo baya hajalishi ni Dogo au kubwa , hakuna sehemu chadema wanaombea watu wafe Serikali ya kidikteta ya CCM ipate Aibu bali chadema wananung’unika juu ya CCM kuchelewa kuzuia Ndege toka china ulaya America zilizoleta wagonjwa wa corona kwa wingi Tanzania, acha kuwasingizia chadema uongo acha ushamba wa kuwapangia chadema vya kuikosoa Serikali yako , takwimu za CCM juu Ugonjwa ndizo zimepelekea Tatizo kuwa kubwa zaidi kwani watanzania hawajali kwa sababu wanaaminishwa na CCM kuwa mungu atawalinda na hawapaswi kujilinda wenyewe, CCM ndiyo wanaombea watu wafe kwa wingi ili wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mpaka mwaka 2025, acha tabia za kuisingizia uongo chadema Tambua kuwa watanzania siyo wajinga kiasi hicho wanajua kila kitu ujinga wenu wote wanaufahamu vyema.
 
Wataumbuka sana,! Yani kati ya vitu chadema hii ya kina kigogo wa twiter kitawaumbua ni hili la kishangilia corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ingekuwa inatangaza ukweli watu wakajua jinsi corona ilivyosambaa Tanzania nina hakika maambukizi yangepungua kwa kasi, lakini CCM wanaficha takwimu matokeo yake watanzania wameona kuwa corona siyo janga kubwa wameendelea kukaa vijiweni watoto kucheza pamoja na misongamano kariakoo na sehemu zingine za hapo jijini Dsm
 
Wataumbuka sana,! Yani kati ya vitu chadema hii ya kina kigogo wa twiter kitawaumbua ni hili la kishangilia corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wako chadema wanashangilia wapi lini kuhusu corona? Acheni kuvuta Bangi kisha kuwapakazia chadema uongo, CCM nyinyi ndiyo mnaombea corona isambae watu wafe mpate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mpaka mwaka 2025
 
Watetezi wa CCM mitandaoni kwa 90% ni mbumbumbu vilaza kwa Akili zao finyu wanazani wakiwasingizia chadema uongo wataonekana wamechangia point mitandaoni kumbe hawajui kuwa wanaiaibisha CCM zaidi
 
Wewe ni mbumbumbu juha kabsa ni Aibu kwa CCM kukutegemea uiwakilishe mitandaoni kwani unazidi kuifedhehesha kwa ujinga wako mwingi unaoleta mitandaoni
 
Ndio kusema haya yanayofanyika hapa nchini hayaonekani au mmefumba macho?

Kama haya yanayofanyika hapa nchi yanatoa uhalali wa kubaki madarakani, basi makaburu wa Afrika Kusini walipaswa kuwepo madarakani mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…