Uchaguzi 2020 Chadema imekosa ajenda za msingi ya kupambana na chama tawala!

Chagu wa malunde. Unaendelea kujiaibisha, hebu soma na urudie ulichokiandika hapa. Hivi hata kwa hao waliokomaa ki democracy . Kuna wakati republican (Trump) anaweza kuwazuia democrats kufanya siasa zao mahali popote ndani ya US kwa kisingizio chochote ?!. Au conservative wanaweza kuwaingilia Labour mahali popote ndani ya UK , kwa kuwa tu ni chama tawala ?!

Jamaa yako ameleta Sheria za wanyama Pori kuongozea binaadamu . Hata Ccm yake ingetendewa hivyo asingelielewa !! Tatizo binaadamu ni wabinafsi .

Na kuhusu Covid 19 tatizo si wapinzani na hakuna sehemu pa kuwalaumu. Uongozi umechukulia mambo kienyeji tangu jambo hili linapigiwa Tatumbeta. Huwezi kuzuia masomo na kuacha ibada za mikusanyiko ziendelee Chagu. Roma Italy ilikoanzia ukatoliki watu wamesali pasaka ndani , Jerusalem makufuli yalining'inia kwenye ma synagogue. Makkah ilikozaliw uislamu pamefungwa. Halafu sisi hapa tunatafuta cheap popularity .



Odhis *
 
Kakopa kiasi gani?Hivi kwa kukopa huko unadhani JK angeshindwa kufanya hayo?Kwa miaka minne JPM amekopa kuliko jumla ya walichokopa watangulizi wake wote!Yaani deni la Nyerere+Mwinyi+Mkapa+Kikwete ni chini ya deni la JPM kwa miaka minne!
Sasa unashangazwa na jambo gani hapo?
 
Watetezi wa CCM mitandaoni kwa 90% ni mbumbumbu vilaza kwa Akili zao finyu wanazani wakiwasingizia chadema uongo wataonekana wamechangia point mitandaoni kumbe hawajui kuwa wanaiaibisha CCM zaidi
Naunga mkono hoja,kuna wakati huwa nafikiri labda ili usajiliwe kwenye hiyo timu sharti la kwanza ni kuwa mpumbavu!
 
Odhiambo cairo nafikiri ni kama umejijibu mwenyewe, mara baada ya uchaguzi kuisha kule Usa huwezi kusikia siasa za kupinga aliyechaguliwa asitekeleze kile alichoahidi. Nafikiri toka uchaguzi wa Us uliopita ni mwaka huu ndio tumeanza kusikia watu wanatangaza nia. Na hata chaguzi ndogo zilikuwa zianze kama sio hili janga. Sijawahi kusikia Democrat wanaendesha mikutano ati kupinga rais aliyepo madarakani asitekeleze ilani ya chama chake.
Na kama hili suala ni kinyume na Katiba na sheria za nchi nafikiri hawa jamaa zako wangekuwa wameenda mahakamani kupinga. We unadhani kwa nini hawendi? Na mahakama kuu ipo wazi.
Unakumbuka yule kijana muuza magazeti aliyefariki Morogoro wakati wa mikutano yenu? Nafikiri ni moja ya mambo ambayo yanastahili kuepukika.
Au mlitaka kutangaza kwamba nchi haitawaliki kama kipindi kile? Maana kama PM atakuwa Mwanza alafu na nyie mnamkutano mfano viwanja vya furahisha,na PM anasikiliza kero za wananchi Kitangiri unadhani hapo picha ikoje?
Hili zuio halijafanywa kwa nia mbaya na uzuri kazi imefanyika na mambo yaliyofanyika umeyaona kwa macho.
Kuhusu Covid -19 si walaumu wapinzani ila naeleza jinsi wanavyo onyesha wao sio wazalendo. Ni kama wanafurahia tunapopata case ya mgonjwa au mtu kufariki. Angalie ile video ambayo Mh Lema ameisbaza kupitia tweeter na mtu mmoja akaileta humu ndani Jf,sio jambo zuri.
Sweden ni nchi iliyoendelea mpaka sasa kuna vifo 1200+ lakini hamna lockdown na hata social distancing measures hazijachukuliwa. WHO mpaka wanashauri wachukue hatua.
Tusipende kulaumu tu ili kupata mwanya wa kutafuta sifa. Mfano kama watu walienda makanisani viongozi wa makanisa walipaswa kuhakikisha kila mtu anakaa umbali wa mita moja na nusu. Hayo ndio mambo ya msingi kuzingatia.
 
Mahakama zipi unazizungumzia onghwise ?!. Hizi mahakimu wamejitoa ufahamu kutafuta uteuzi !!. Au hizi boss anasema pesa ninawapa lakini kwanini serikali inashindwa kesi mara kwa mara !!. Mfano umeona kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi . Sihitaji hata kuongeza neno.



Odhis *
 
Odhiambo cairo katiba ya JMT ipo wazi kabisa kama kuna haki yoyote ya msingi imepindiswa unapata haki yako ukienda Mahakama Kuu.
 
POLE sana ndugu yangu,
Nadhani kiwango cha uelewa wako ndio chenye mapengo. Hayo mnayofanya na kujivunia na kubuni visingizio (debe zima) ndio ukandamizaji wenyewe wa wa haki za watz wengine.
 
POLE sana ndugu yangu,
Nadhani kiwango cha uelewa wako ndio chenye mapengo. Hayo mnayofanya na kujivunia na kubuni visingizio (debe zima) ndio ukandamizaji wenyewe wa wa haki za watz wengine.
Mahakama kuu ipo wazi nendeni mahakamani kama kuna ukandamizaji
.
 
Inaonekana umeumia sana, kwa taarifa yako mlizoea kusikia mambo ya kusia tu. Sasa watz wamewmka kwahiyo kila mwenye hoja au kuhoji jambo, mnahisi ni Chadema tu. Pole sana, mwisho umefika. Hongera yake maana amefanya mambo yanayoonekana machoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau humu walikuwa wanakesha na kuomba ije ikaja ikamchapa na DJ wao kuonesha hii kitu haihitaji usukule saiv wanaomba na kukesha mitandaoni watangaziwe lockdown ila kwa sharti la kupewa ugali Ni ajabu sana Hawa chadema

Sent from Tapatalk
 
Well said mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…