Chadema imekosa hoja za kupambana na CCM na kwa mantiki hii wamekubali matokeo mapema

Ushahidi uko tele, na kile kilichofanyika kwenye chaguzi zote za marudio na SM za mitaa, kilidhihirisha maaguzo hayo fullstop.
Ushahidi ni kitu kinachothibitisha au kukanusha. Weka sauti au video ya rais akiwatisha watumishi wa tume.
 
Mimi sio data center ya sauti za rais. Rais kila siku anasema anapambana na mafisadi, na sina popote nilipotunza sauti hiyo ili iwe ushahidi wa hicho alichokisema.
 
Kwa hiyo unatoa tuhuma kwa hisia na wala huna uhakika?
 
Ni kweli, maana ccm sio chama cha siasa bali ni taasisi ya kidola iliyojivika koti la chama cha siasa.
CCM ni chama cha kisiasa acha kupagawa.Ila kwa sababu ni chama tawala ndio kimeshika dola. Usiongee utoto wewe dogo.
 
Narudia tena, ccm sio chama cha siasa, bali ni taasisi ya kidola iliyojipachika koti la chama cha siasa. Ndio maana unaona hakishindi tena kwenye chaguzi kwa ushawishi wa kisiasa, bali kinategemea zaidi matumizi ya vyombo vya dola kukaa madarakani.
 
Weka ushahidi usifanye mambo kwa hisia tu.

Ushahidi upo kwenye ule uhayawani tuliouona kwenye chaguzi za marudio, na ushenzi wa wazi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Usidhani watu wako kimya na hawaoni kinachoendelea kwenye chaguzi zetu toka awamu ya tano iingie madarakani. Unapoona watu wengi hawashiriki tena kujiandikisha kwenye uchaguzi na hata kupiga kura, ujue woga pekee yake ndio unaowafanya wakae kimya, lakini sio kuridhika.
 
Narudia tena, ccm sio chama cha siasa, bali ni taasisi ya kidola iliyojipachika koti la chama cha siasa. Ndio maana unaona hakishindi tena kwenye chaguzi kwa ushawishi wa kisiasa, bali kinategemea zaidi matumizi ya vyombo vya dola kukaa madarakani.
CCM inatumia dola vizuri ili kutekelea ilani yake ya uchaguzi. Imetumia Pccb kudhibiti rushwa na ubadhilifu. Imetumia polisi kulinda usalama wa raia na mali zao. Kwa hiyo ni Chama ambacho kinajua nini maana ya kuwa chama tawala.
 
Ushahidi upo kwenye ule uhayawani tuliouona kwenye chaguzi za marudio, na ushenzi wa wazi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Usidhani watu wako kimya na hawaoni kinachoendelea kwenye chaguzi zetu toka awamu ya tano iingie madarakani. Unapoona watu wengi hawashiriki tena kujiandikisha kwenye uchaguzi na hata kupiga kura, ujue woga pekee yake ndio unaowafanya wakae kimya, lakini sio kuridhika.
Umesema JPM aliwatisha watumishi wa tume ya uchaguzi ili wasitangaze wapinzani kushinda. Weka hapa huo ushahidi akiwatisha hao watumishi.
 
CCM inatumia dola vizuri ili kutekelea ilani yake ya uchaguzi. Imetumia Pccb kudhibiti rushwa na ubadhilifu. Imetumia polisi kulinda usalama wa raia na mali zao. Kwa hiyo ni Chama ambacho kinajua nini maana ya kuwa chama tawala.

Ww utakuwa ni mzee na sio mzee tu, bali ni mzee ambaye ni bendera fuata upepo. Unadhani sisi tunaposema ccm inatumia dola kukaa madarakani hatujui tofauti ya majukumu ya hizo taasisi, na tuhuma zetu za matumizi mabaya ya hizo taasisi?
 
Umesema JPM aliwatisha watumishi wa tume ya uchaguzi ili wasitangaze wapinzani kushinda. Weka hapa huo ushahidi akiwatisha hao watumishi.

Narudia tena, sina shaka na nilichosema, na ushahidi wa hayo maagizo yake ni ule uhayawani na upuuzi uliojitokeza kwenye chaguzi za marudio na uchaguzi wa SM.
 
Back
Top Bottom