Hutumia dola kubaki madarakani, so huko sahihiTufahamishe chama dola kinakuwaje? Maana labda hatujui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutumia dola kubaki madarakani, so huko sahihiTufahamishe chama dola kinakuwaje? Maana labda hatujui.
Unatafuta chaka la kutokea baada ya kubanwa, ndiyo mana mnajiita matangaKawape hilo darasa makamanda wa ufipa. Hivi mtajenga ofisi kweli maana baada ya October hata ruzuku itakuwa ishu.
Huna hoja yoyote ya maana. Unatapatapa tu. Kutumia dola kwa manufaa ya umma ni tatizo?