CHADEMA INA NA KUTOKOMEA KWENYE NYUFA ILIZO ZISABABISHA YENYEWE.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Unashauri chadema watumie mbinu za kisiasa kudhibiti nyufa zaidi za kudhoofisha chama hicho, hasa ukizingatia chadema haina sifa wala vigezo vya kisheria kushiriki chaguzi zozote za kisiasa humu nchini kwa miaka mi5 ijayo?

Kumbuka,
chama hicho kinajiendesha kwa kuombaomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi wake kwa wananchi, ambao baada ya kugundua wanatapeliwa pesa zao na chama ambacho hakina agenda ya kushiriki uchaguzi, kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi wakagoma kuchangia, kwasababu waliona hakuna maana kuchanga pesa ambazo hazina kazi.

Una ushauri gani kwa chadema wakati maelfu ya wanachama wake wakiendelea kujitenga na kujiengua na chama hicho kilipoteza uelekeo na kisicho na agenda ispokua kuropoka tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Use social inferences
 
Chama kinachokataa kushika dola ni SACCOS,NGO,VIKOBA
 
?
Una ushauri gani kwa chadema wakati maelfu ya wanachama wake wakiendelea kujitenga na kujiengua na chama hicho kilipoteza uelekeo na kisicho na agenda ispokua kuropoka tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
CCM inajiendesha Kwa fedha zipi? Hizo fedha ndizo inatumia kuwapeleka kina Steve,Mwijaku na wajinga wengine Korea na Marekani?
 
Nduguzo ccm wanavyozama kwenye bonde la ufa ambalo itawatowesha kabisa umebahatika japo kuliona nalo hilo?
 
Yaan,
Mtu ambae yupo against hiki ambacho chadema inakipigania huyo mtu ana matatizo makubwa ya akili na ufahamu wake una mushikeri mkubwa Sanaa.

Mwaka 2023/2024 MAMASAMIA alishuhudia kusaini kwa mikataba ya WAHISANI kusaidia deficit BUDGET ya SERIKALI YAKO ya CCM.

*Rais Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba mitatu ya kusaidia Bajeti ya Serikali kutoka Umoja wa Ulaya yenye thamani ya Sh455 bilioni
 
G55 ni maelfu? Mfano mmoja mzuri tu kwa hapa Jf onyesha aliyejitenga na Chadema ewe chawa wa Waziri Rajab
 
Sijaona Cha ajabu, watu kutoka chadema hawajaanza leo
 
jikite kwenye kuishauri chadema gentlemen, jinsi bora ya kujikwamua salama kutoka kwenye changamoto na mkwamo inaoypitia kwa sasa.

hayo mengine nadhan si muhimu sana kwenye hoja hii 🐒
 
Sijaona Cha ajabu, watu kutoka chadema hawajaanza leo
unawashauri nini chadema kwa kukosa sifa za kikatiba kushiriki uchaguzi kwa miaka 5, kuna mtu timamu anaweza kusalia kwenye chama kama hicho gentleman?🐒
 
G55 ni maelfu? Mfano mmoja mzuri tu kwa hapa Jf onyesha aliyejitenga na Chadema ewe chawa wa Waziri Rajab
ushauri wako wa faraja kwa chadema iliyopoteza uelekeo ni upi haswa gentleman? 🐒
 
Nduguzo ccm wanavyozama kwenye bonde la ufa ambalo itawatowesha kabisa umebahatika japo kuliona nalo hilo?
so gentleman,
huna ushauri wowote dhidi ya chadema iliyopoteza uelekeo 🐒
 
CCM inajiendesha Kwa fedha zipi? Hizo fedha ndizo inatumia kuwapeleka kina Steve,Mwijaku na wajinga wengine Korea na Marekani?
Gentleman,
ni muhimu zaid ukajikita kwenye kuishauri chadema iliyopoteza uelekeo bila mbambamba yoyote kwenye vyama vingine vya siasa 🐒
 
Back
Top Bottom