CHADEMA INA NA KUTOKOMEA KWENYE NYUFA ILIZO ZISABABISHA YENYEWE.

Ukiwashauri wewe inatosha.
mtu kama heche ili aelewe ushauri hadi umgonge kwenzi kwanza maana kichwa yake ni ngumu mno gentleman,
tunafanyaje hapo aise 🐒
 
Huna cha kushauri maana na wewe unahitaji kifunguliwa akili. Ubongo wako umejaa utando wa buibui. Halafu mbona mama yako ana akili ndogo kiasi kile? Alipewaje majukumu mazito? Aisee kile kichwa sijui tumekiokota wapi!
 
alipopewa pension yake ya ubunge, alishauriwa aache kucheza kamari, akawa mbishi kichwa ngumu,

si akabeti,
kilichompata hatakisahau maisha yake yote. Muhindi aliempiga pesa yote ya pension mpaka sasa anaishi kwa wazazi na gari kapewa tu na kada wa CCM kumsitiri 🐒
 
Unashauri chadema watumie mbinu za kisiasa kudhibiti nyufa zaidi za kudhoofisha chama hicho, hasa ukizingatia chadema haina sifa wala vigezo vya kisheria kushiriki chaguzi zozote za kisiasa humu nchini kwa miaka mi5 ijayo?

Kumbuka,
chama hicho kinajiendesha kwa kuombaomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi wake kwa wananchi, ambao baada ya kugundua wanatapeliwa pesa zao na chama ambacho hakina agenda ya kushiriki uchaguzi, kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi wakagoma kuchangia, kwasababu waliona hakuna maana kuchanga pesa ambazo hazina kazi.

Una ushauri gani kwa chadema wakati maelfu ya wanachama wake wakiendelea kujitenga na kujiengua na chama hicho kilipoteza uelekeo na kisicho na agenda ispokua kuropoka tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.

Nina ushauri kwa ccm tu

Kuwa huu ndio wakati mzuri kwao because chadema ndio inakufa moja moja so hakuna tena mpinzani kwake

Bunge lote litakuwa chini ya CCM

Huu ni wakati bora sana kwao
 
asanti kwa ushauri gentleman 🐒
 
Unashauri chadema watumie mbinu za kisiasa kudhibiti nyufa zaidi za kudhoofisha chama hicho, hasa ukizingatia chadema haina sifa wala vigezo vya kisheria kushiriki chaguzi zozote za kisiasa humu nchini kwa miaka mi5 ijayo?

Kumbuka,
chama hicho kinajiendesha kwa kuombaomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi wake kwa wananchi, ambao baada ya kugundua wanatapeliwa pesa zao na chama ambacho hakina agenda ya kushiriki uchaguzi, kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi wakagoma kuchangia, kwasababu waliona hakuna maana kuchanga pesa ambazo hazina kazi.

Una ushauri gani kwa chadema wakati maelfu ya wanachama wake wakiendelea kujitenga na kujiengua na chama hicho kilipoteza uelekeo na kisicho na agenda ispokua kuropoka tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
HONGEERENI KWA KAQZI VNZURI YA MTANDAONI,USIPOPATA CHEO MWAKA HUU KAMA WENZAKO LAANA YA DAMU YA MZEE KIBAO ITAKUWA IMENZA KUKUTAFUNA
 
Calm down gentleman
jikite kwenye hoja tu na itapendeza zaidi 🐒
 
Unashauri chadema watumie mbinu za kisiasa kudhibiti nyufa zaidi za kudhoofisha chama hicho, hasa ukizingatia chadema haina sifa wala vigezo vya kisheria kushiriki chaguzi zozote za kisiasa humu nchini kwa miaka mi5 ijayo?

Kumbuka,
chama hicho kinajiendesha kwa kuombaomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi wake kwa wananchi, ambao baada ya kugundua wanatapeliwa pesa zao na chama ambacho hakina agenda ya kushiriki uchaguzi, kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi wakagoma kuchangia, kwasababu waliona hakuna maana kuchanga pesa ambazo hazina kazi.

Una ushauri gani kwa chadema wakati maelfu ya wanachama wake wakiendelea kujitenga na kujiengua na chama hicho kilipoteza uelekeo na kisicho na agenda ispokua kuropoka tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
YAANI washikilie hapo hapo... Wanachama Malaya wa kisiasa wapukutike wote!
 
Qmmmko
 
Back
Top Bottom