CHADEMA INA NA KUTOKOMEA KWENYE NYUFA ILIZO ZISABABISHA YENYEWE.

CHADEMA INA NA KUTOKOMEA KWENYE NYUFA ILIZO ZISABABISHA YENYEWE.

Gentleman,
ushauri wako kwa chadema uko wapi? au unaungana na waliorekebisha heading ya bandiko kwa kukosea kwa makusudi?๐Ÿ’
Gentleman ๐Ÿ˜‰ ๐Ÿ˜‰ wewe ni big brain ๐Ÿง  nauhakika huo Ila sijui kwa Nini huwa upo saided na upande OVU.

SAA YA UKOMBOZI NI SASA GENTLEMAN ๐Ÿ˜Š ๐Ÿ˜… FANYA TAFITI LECTURER WANGU UTAJUA UPI NI UPANDE WA HAKI CHADEMA YA LISSU NI MPANGO WA MUNGU..

UNACHO KIFANYA NI PROPAGANDA ZA WATU WASENGEREMA wewe ni big brain ๐Ÿง  usiangalie tumbo lako..

Nimepoteza namba ya TONETONE MWENYE NAYO AIPOST HAPA NDANI LAZIMA TUPATE TRUE INDEPENDENCE
 
una vichekesho vingi mpaka nacheka kwa sauti bana, dah?๐Ÿคฃ

kwahiyo,
saa ya ukombozi ni sasa kama sio sasa ni sasa hivi right?๐Ÿคฃ

Na huyo mropokaji alieitumbukiza chadema shimoni kwa makusudi ndio kiongozi wa ukombozi right?๐Ÿคฃ
Labda ukombozi wa kuwafanya vijana wengi wangi zaidi wenye nguvu ndani ya awaingize kwenye tabia mbaya ya ya kuomba omba kuchangiwa pesa...

Mungu ana mpango na kusudi na kila alie muumba kwa sura na mfano wake, kinyume na hapo ni ramli na ushirikiana mtupu ๐Ÿ’
 
Moderator unashiriki kupokea pesa maana na uwongo na uzushi mnaweza kuwa mnawa suppport
 
Tunajua mnakaa vikao na hao Njaa 55, mmewapa vi senti vya kula basi press kila kukicha.
Ni hao hao ndiyo waliiba muhuri wa Katibu Mkuu kuwaingiza wake zao Bungeni - mkishirikiana nao - hii ni tuhuma mbaya saana.

Mmemuwezesha mzee Sipunda hela afanye vikao vikuu vya chama ili ku accomodate hako kakundi ka wahuni.

Yote 9, kumi watanganyika si wajinga tena - No Reforms itawatafuna woote.
 
ulipomalizia Mungu ibariki Tanzania, utafikiri uliyoyaandika yamejaa utukufu sana.
ofcoz hua naeleza mambo ya msingi tu gentleman,

hata hivyo,
ushauri wako kwa chadema iliyopoteza uelekeo ni upi ndugu mdau?๐Ÿ’
 
Tofautisha kupruni majani ya mti, na kukata mti, Chama kinapruniwa
 
Gentleman,
una vichekesho vingi mpaka nacheka kwa sauti bana, dah?๐Ÿคฃ

kwahiyo,
saa ya ukombozi ni sasa kama sio sasa ni sasa hivi right?๐Ÿคฃ

Na huyo mropokaji alieitumbukiza chadema shimoni kwa makusudi ndio kiongozi wa ukombozi right?๐Ÿคฃ
Labda ukombozi wa kuwafanya vijana wengi wangi zaidi wenye nguvu ndani ya awaingize kwenye tabia mbaya ya ya kuomba omba kuchangiwa pesa...

Mungu ana mpango na kusudi na kila alie muumba kwa sura na mfano wake, kinyume na hapo ni ramli na ushirikiana mtupu ๐Ÿ’
Najua ukisikia CHADEMA unatetemeka na kutema BUNGO kwa hofu na wasiwasi na ndio maana kutwa kuchwa huachi kuweweseka na kupagawa na chama letu chama la watu wenye akili timamu na wasio chumia tumbo Kawa wewe gentleman lecturer wangu mzalendo โ˜บ๏ธ๐Ÿ˜Š mzee wangu kuchumia tumbo Kuna mwisho wake huu ni muda Sasa wa kua mzalendo

No reforms, no ELECTION
 
Mtu anaanzisha thread kila comments kumi saba ni zake mwenyewe ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Najua ukisikia CHADEMA unatetemeka na kutema BUNGO kwa hofu na wasiwasi na ndio maana kutwa kuchwa huachi kuweweseka na kupagawa na chama letu chama la watu wenye akili timamu na wasio chumia tumbo Kawa wewe gentleman lecturer wangu mzalendo โ˜บ๏ธ๐Ÿ˜Š
Gentleman,
leo umeamua kua stand-up comedy sio ๐Ÿคฃ

kwanza kabisa,
binafsi siwezi kubabaika na chama chochote cha siasa kilichopoteza uelekeo na kisicho na sifa za kisheria wala vigezo vya kikatiba vya kushiriki chaguzi.

Ni ulofa kung'ang'ana kwenye chama kinachjitenga na michakato ya kidemokrasia, chama kisicho na malengo wala mikakati ya kushika dola, kuunda Serikali wala kuongoza nchi.

Ni mshirikina au mpiga ramli pekeyake ndie anaweza kusalia au kubaki kwenye chama kinachoua ndoto zake na kukimbiwa na kila mwenye maono, hekima na busara za kisiasa.

Tafakari hilo na wenzako gentleman na mchukue hatua ๐Ÿ’
 
Kwa sasa hutoelewa
kenge ili aamini kwamba anapigwa Lazima aone damu zinamtoka.

chadema itakapobaki kamati kuu peyake ndio watagundua kwamba kuna nyufa kwenye chama chao na kiburi chao ๐Ÿ’
 
Mtu anaanzisha thread kila comments kumi saba ni zake mwenyewe ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Gentleman,
mimi ndie mtoa hoja, na mimi ndie muongoza mjadala,

na kwahivyo upotoshaji Lazima urekebishwe mara moja na mimi mwenyewe mtaalamu wa masuala haya ya kisiasa,

hata hivyo gentleman,
bila kuropoka,
unaishauri chadema Taifa wafanye nini kudhibiti nyufa zilizopo zinazofanya maelfu ya wanachama wake kujitenga na kuikimbia chadema?๐Ÿ’
 
Relax,
na toa ushauri wako kwa chadema iliyopoteza uelekeo gentleman na itapndeza zaidi ๐Ÿ’
Nilicho gundua muwezi kujenga hoja zaidi ya kuweka ujinga
 
Nilicho gundua muwezi kujenga hoja zaidi ya kuweka ujinga
kwahiyo huna ushauri wowote dhidi ya chadema iliyopoteza uelekeo gentleman?

umebaki na uropokaji tu, right?๐Ÿ’
 
kwahiyo huna ushauri wowote dhidi ya chadema iliyopoteza uelekeo gentleman?

umebaki na uropokaji tu, right?๐Ÿ’
Naona najibishana na mjinga tu bora kumpa ujinga
 
Naona najibishana na mjinga tu bora kumpa ujinga
muerevu sasa umeshindwa kabisaa hata kuishauri chadema iliyopoteza uelekeo ifanye nini baada ya kukimbiwa na wanachama wake,

nawe unatoka nduki kukimbia hoja,dah!๐Ÿ’
 
Back
Top Bottom