Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Gentleman π π wewe ni big brain π§ nauhakika huo Ila sijui kwa Nini huwa upo saided na upande OVU.Gentleman,
ushauri wako kwa chadema uko wapi? au unaungana na waliorekebisha heading ya bandiko kwa kukosea kwa makusudi?π
Gentleman,Gentleman π π wewe ni big brain π§ nauhakika huo Ila sijui kwa Nini huwa upo saided na upande OVU.
SAA YA UKOMBOZI NI SASA GENTLEMAN π π FANYA TAFITI LECTURER WANGU UTAJUA UPI NI UPANDE WA HAKI CHADEMA YA LISSU NI MPANGO WA MUNGU..
UNACHO KIFANYA NI PROPAGANDA ZA WATU WASENGEREMA wewe ni big brain π§ usiangalie tumbo lako..
Nimepoteza namba ya TONETONE MWENYE NAYO AIPOST HAPA NDANI LAZIMA TUPATE TRUE INDEPENDENCE
Najua ukisikia CHADEMA unatetemeka na kutema BUNGO kwa hofu na wasiwasi na ndio maana kutwa kuchwa huachi kuweweseka na kupagawa na chama letu chama la watu wenye akili timamu na wasio chumia tumbo Kawa wewe gentleman lecturer wangu mzalendo βΊοΈπ mzee wangu kuchumia tumbo Kuna mwisho wake huu ni muda Sasa wa kua mzalendoGentleman,
una vichekesho vingi mpaka nacheka kwa sauti bana, dah?π€£
kwahiyo,
saa ya ukombozi ni sasa kama sio sasa ni sasa hivi right?π€£
Na huyo mropokaji alieitumbukiza chadema shimoni kwa makusudi ndio kiongozi wa ukombozi right?π€£
Labda ukombozi wa kuwafanya vijana wengi wangi zaidi wenye nguvu ndani ya awaingize kwenye tabia mbaya ya ya kuomba omba kuchangiwa pesa...
Mungu ana mpango na kusudi na kila alie muumba kwa sura na mfano wake, kinyume na hapo ni ramli na ushirikiana mtupu π
Kwa sasa hutoelewaKwahiyo,
uropokaji ndio unakipruni chama right?π
Gentleman,Najua ukisikia CHADEMA unatetemeka na kutema BUNGO kwa hofu na wasiwasi na ndio maana kutwa kuchwa huachi kuweweseka na kupagawa na chama letu chama la watu wenye akili timamu na wasio chumia tumbo Kawa wewe gentleman lecturer wangu mzalendo βΊοΈπ
Gentleman,Mtu anaanzisha thread kila comments kumi saba ni zake mwenyewe π€£π€£π€£π€£
Nilicho gundua muwezi kujenga hoja zaidi ya kuweka ujingaRelax,
na toa ushauri wako kwa chadema iliyopoteza uelekeo gentleman na itapndeza zaidi π
Naona najibishana na mjinga tu bora kumpa ujingakwahiyo huna ushauri wowote dhidi ya chadema iliyopoteza uelekeo gentleman?
umebaki na uropokaji tu, right?π