CHADEMA INA NA KUTOKOMEA KWENYE NYUFA ILIZO ZISABABISHA YENYEWE.

Ukiwashauri wewe inatosha.
mtu kama heche ili aelewe ushauri hadi umgonge kwenzi kwanza maana kichwa yake ni ngumu mno gentleman,
tunafanyaje hapo aise πŸ’
 
mtu kama heche ili aelewe ushauri hadi umgonge kwenzi kwanza maana kichwa yake ni ngumu mno gentleman,
tunafanyaje hapo aise πŸ’
Huna cha kushauri maana na wewe unahitaji kifunguliwa akili. Ubongo wako umejaa utando wa buibui. Halafu mbona mama yako ana akili ndogo kiasi kile? Alipewaje majukumu mazito? Aisee kile kichwa sijui tumekiokota wapi!
 
alipopewa pension yake ya ubunge, alishauriwa aache kucheza kamari, akawa mbishi kichwa ngumu,

si akabeti,
kilichompata hatakisahau maisha yake yote. Muhindi aliempiga pesa yote ya pension mpaka sasa anaishi kwa wazazi na gari kapewa tu na kada wa CCM kumsitiri πŸ’
 
Nina ushauri kwa ccm tu

Kuwa huu ndio wakati mzuri kwao because chadema ndio inakufa moja moja so hakuna tena mpinzani kwake

Bunge lote litakuwa chini ya CCM

Huu ni wakati bora sana kwao
 
Nina ushauri kwa ccm tu

Kuwa huu ndio wakati mzuri kwao because chadema ndio inakufa moja moja so hakuna tena mpinzani kwake

Bunge lote litakuwa chini ya CCM

Huu ni wakati bora sana kwao
asanti kwa ushauri gentleman πŸ’
 
HONGEERENI KWA KAQZI VNZURI YA MTANDAONI,USIPOPATA CHEO MWAKA HUU KAMA WENZAKO LAANA YA DAMU YA MZEE KIBAO ITAKUWA IMENZA KUKUTAFUNA
 
HONGEERENI KWA KAQZI VNZURI YA MTANDAONI,USIPOPATA CHEO MWAKA HUU KAMA WENZAKO LAANA YA DAMU YA MZEE KIBAO ITAKUWA IMENZA KUKUTAFUNA
Calm down gentleman
jikite kwenye hoja tu na itapendeza zaidi πŸ’
 
YAANI washikilie hapo hapo... Wanachama Malaya wa kisiasa wapukutike wote!
 
Qmmmko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…