Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa.
Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na kushitakiwa kwa uhaini kwa Tundu Lissu, no reforms no election na CHADEMA kugomea kinachoitwa kanuni za maadili za uchaguzi.
Kama haya yote yasingetokea mijadala mikubwa zaidi katika nchi kwa sasa ingekuwa ni mipira ya Simba na Yanga. CHADEMA ikipotea katika siasa za nchi ni wazi tutaingia kwenye zama za giza"dark ages" za chama kimoja kwa miaka mingi sana ijayo. Wenye mapenzi mema na nchi hii ombeni kwa imani zenu zote kama kweli maombi yanafanya kazi.