Maua Mkuu πππ»π»πππππππππππππππππTwende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa.
Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na kushitakiwa kwa uhaini kwa Tundu Lissu, no reforms no election na CHADEMA kugomea kinachoitwa kanuni za maadili za uchaguzi.
Kama haya yote yasingetokea mijadala mikubwa zaidi katika nchi kwa sasa ingekuwa ni mipira ya Simba na Yanga. CHADEMA ikipotea katika siasa za nchi ni wazi tutaingia kwenye zama za giza"dark ages" za chama kimoja kwa miaka mingi sana ijayo. Wenye mapenzi mema na nchi hii ombeni kwa imani zenu zote kama kweli maombi yanafanya kazi.
Mungu awabariki wawe upande wa HAKI.Wanahitaji maua mengi sana kwa sababu hadi redio zilizozoea kujikita kwenye udaku sana sasa hivi wanajadili siasa ngumu angalau kidogo.
Nadhani wana uwezo mkubwa zaidi wa mihemko na kuporomosha matusi gentleman,Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa.
Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na kushitakiwa kwa uhaini kwa Tundu Lissu, no reforms no election na CHADEMA kugomea kinachoitwa kanuni za maadili za uchaguzi.
Kama haya yote yasingetokea mijadala mikubwa zaidi katika nchi kwa sasa ingekuwa ni mipira ya Simba na Yanga. CHADEMA ikipotea katika siasa za nchi ni wazi tutaingia kwenye zama za giza"dark ages" za chama kimoja kwa miaka mingi sana ijayo. Wenye mapenzi mema na nchi hii ombeni kwa imani zenu zote kama kweli maombi yanafanya kazi.
Siku ya wewe kuielewa Chadema kwamba, ni chama haswaa ambacho ni wazawa wa hii nchi na ndo wenye mapenzi na uchungu wa maliasili za nchi hii, ndiyo siku utakapo zikwa,Nadhani wana uwezo mkubwa zaidi wa mihemko na kuporomosha matusi gentleman,
na hiyo imekua ni utambulisho muhimu sana wa Chadema kwa umma π
naielewa vizuri sana Chadema gentleman,Siku ya wewe kuielewa Chadema kwamba, ni chama haswaa ambacho ni wazawa wa hii nchi na ndo wenye mapenzi na uchungu wa maliasili za nchi hii, ndiyo siku utakapo zikwa,
Waweza tu kuendelea na ujinga wako kwa sasa maana nikikwita mfu wa kiakili nitakuwa sikutendei haki