johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
MachameUWT huwa mnafanyia wapi?
UWT nendeni kusini. OverMachame
Ficha upumbavu kisha upe muda wakatiChadema hawajielewi wanakuja Mwanza ,huku wakijua walishangilia kifo cha Magufuli. Wataambulia aibu
Hahaha! Nyanda za Juu Kusini ndio kuna wafia chama!Umejawa na upumbavu mwingi na wivu na husuda nyingi sana Jo
Mwovu akifa inakuwa furaha kwa watenda mema.Chadema hawajielewi wanakuja Mwanza ,huku wakijua walishangilia kifo cha Magufuli. Wataambulia aibu
Unaongelea mwanza ipi? Tumejiandaa kwa mapokezi ya kutisha na jjiji litazizima. Binafsi nitakuwepo Furahisha siku hiyoChadema hawajielewi wanakuja Mwanza ,huku wakijua walishangilia kifo cha Magufuli. Wataambulia aibu
Na wewe tapatapa basiUnatapatapa tu
Ni kikao kipi cha chadema kulichokaa kikafanya mchakato wa kushangilia kifo cha shujaa wenu? Video, au picha ya kina mbowe na kina Lissu wakiruka majoka kwa vicheko na nderemo. Bila hivyo wewe ni mpumbavu tuChadema hawajielewi wanakuja Mwanza ,huku wakijua walishangilia kifo cha Magufuli. Wataambulia aibu
Chadema hawajielewi wanakuja Mwanza ,huku wakijua walishangilia kifo cha Magufuli. Wataambulia aibuhia
Nyanda za juu ni wafuata mkumbo awasumbui kuwawekea sawaNilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.
Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza
Ngoja tuone!
Tutawanyoa kwenye sanduku la kura mpaka mkomeJiandae kuona ukweli utakaoumiza nafsi yako. Hapo ndio utajua mlikuwa manjidanganya na siasa za yule kiongozi wenu muovu aliyeko motoni.
Tutawanyoa kwenye sanduku la kura mpaka mkome
Ukishakubalika sehemu, majukumu ya pale yataratibiwa na kuongozwa vizuri sana na watu wa hapo. Huna sababu ya kulinda goli, fanya mashambulizi?Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.
Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza
Ngoja tuone!
Chadema tafuteni watu popote pale kanda ya ziwa ndio ngome yenu kubwa na hasa baada ya mtu kufa.Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.
Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza
Ngoja tuone!