CHADEMA inakubalika zaidi Nyanda za Juu Kusini lakini Viongozi wao wanapenda zaidi Mwanza!

Kitu kinachotakiwa kukielewa

Kwamba mwanza au Kanda ya ziwa nieneo miaka yote ya uchaguzi huamua hatima ya Tanzaia kwaidadi Yao wanatakiwa kupewa elimu ya uraia mudawote ,kwani wanachangia kutuchelewesha.......wafugaji na wavuvi Hawa hawatakiwi kuachwa
Lakini ni hawa hawa Kanda ya Ziwa waliambiwa ni Washamba na wajinga sana na hasa Wasukuma.Nchi hii haitokaa tena kutoa Kiongozi hasa kwa wasukuma,leo mnaenda kuwaambia nini tena,nilidhani hawa wajinga na washamba hawana umuhimu sana,mngewaacha na ujinga wao.
 
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!
Mwanza pazuri kula maisha. Uende rukwa hotel hata maji hazina. Acha watu wale bata
 
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!
Umeongea point muhimu sana,watakubishia tu kwa sababu wataamua kubisha lakini ukweli ndiyo huo.
 
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!
Umenena vyema.
 
Chadema hawajielewi wanakuja Mwanza ,huku wakijua walishangilia kifo cha Magufuli. Wataambulia aibu
Magufuli alikua binadam kama wewe dada
Hakuna aliye shangilia kifo chake ila wewe ndio unahisi hivyo na wewe kutumia hisia hatushangai nitabia zenu wanawake mwanaume husikiliza na kutumia akili kuelewa jambo
Magufuli alikua dictator kama madiktor wengine ila hii haitoi haki yakushangilia kifo chake

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Lakini ni hawa hawa Kanda ya Ziwa waliambiwa ni Washamba na wajinga sana na hasa Wasukuma.Nchi hii haitokaa tena kutoa Kiongozi hasa kwa wasukuma,leo mnaenda kuwaambia nini tena,nilidhani hawa wajinga na washamba hawana umuhimu sana,mngewaacha na ujinga wao.
Najua wewe nimsukuma ,nilazima ufikiwe uelimishwe na ujuavyo unahaki kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa ,endapo ulipochaguliwa nafsi hukuitumia vizuri fursa uliyobakia ni kuchagua hivyo .elimu Haina mwisho kufikiwa muhimu wapokee Kwa mikono miwili
 
Jiandae kuona ukweli utakaoumiza nafsi yako. Hapo ndio utajua mlikuwa manjidanganya na siasa za yule kiongozi wenu muovu aliyeko motoni.
raha sio raha ndugu zangu
 
Lakini ni hawa hawa Kanda ya Ziwa waliambiwa ni Washamba na wajinga sana na hasa Wasukuma.Nchi hii haitokaa tena kutoa Kiongozi hasa kwa wasukuma,leo mnaenda kuwaambia nini tena,nilidhani hawa wajinga na washamba hawana umuhimu sana,mngewaacha na ujinga wao.
kada ya ziwa mshama alisha kufa wamebakia washua
 
Najua wewe nimsukuma ,nilazima ufikiwe uelimishwe na ujuavyo unahaki kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa ,endapo ulipochaguliwa nafsi hukuitumia vizuri fursa uliyobakia ni kuchagua hivyo .elimu Haina mwisho kufikiwa muhimu wapokee Kwa mikono miwili
Hiyo Elimu unayotaka kuwapa Wasukuma hebu kwanza ianzie kwako wewe,ukishaelimika uje sasa kuwaelimisha na wao.
 
kada ya ziwa mshama alisha kufa wamebakia washua
Wakati ule mlitoa kejeli za kutosha kwa wasukuma,sisi tupo kuwakumbusheni kuwa Wasukuma hawajasahau,karibuni lakini mjiandae kisaikolojia kujibu maswali magumu ya Wasukuma.
 
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!
Tyrany of numbers!
 
Wakati ule mlitoa kejeli za kutosha kwa wasukuma,sisi tupo kuwakumbusheni kuwa Wasukuma hawajasahau,karibuni lakini mjiandae kisaikolojia kujibu maswali magumu ya Wasukuma.

Magufuli sio msukuma, usitake kumpa kabila lisilo lake. Nyie sio wasukuma, bali ni CCM mnaojifichia kwa wasukuma. Mwanza ni Tanzania, na hakuna kabila lolote lenye haki miliki ya eneo hapa Tanzania. Na CDM wanaenda popote bila kujali CCM mtatumia kabila la walio wengi eneo fulani kufanya siasa zenu chafu.
 
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!
Kwani ujui wamepanga vita na marehemu ndiyo maana wanakwenda mwanza wakijidanvanya kuwa watamshinda marehemu
 
Back
Top Bottom