CHADEMA inakubalika zaidi Nyanda za Juu Kusini lakini Viongozi wao wanapenda zaidi Mwanza!

Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!
Waache waje kupigana na marehemu sisi tuna wazoom tu
 
Magufuli sio msukuma, usitake kumpa kabila lisilo lake. Nyie sio wasukuma, bali ni CCM mnaojifichia kwa wasukuma. Mwanza ni Tanzania, na hakuna kabila lolote lenye haki miliki ya eneo hapa Tanzania. Na CDM wanaenda popote bila kujali CCM mtatumia kabila la walio wengi eneo fulani kufanya siasa zenu chafu.
Mnakumbuka shuka kukiwa kumekucha,sisi tupo kuwakumbusheni.Ile mihemko yenu wakati wa msiba imekwisha sasa ndiyo mnakumbuka kuna Wasukuma na chap mkakimbilia kuanzia mikutano yenu Mwanza.Wasukuma washamba bado wapo na kumbukumbu zote wanazo vizuri tu.
 
Kwani ujui wamepanga vita na marehemu ndiyo maana wanakwenda mwanza wakijidanvanya kuwa watamshinda marehemu
Ha ha ha wanachekesha sana,wamepigana nae hapa JF wamemshindwa,wameamua wamfuate kabisa kwenye ngome yake.Marehemu pamoja na kuwa ametangulia mbele za haki lakini bado anawatoa jasho mpaka wameamua waende Mwanza.
 
Mnakumbuka shuka kukiwa kumekucha,sisi tupo kuwakumbusheni.Ile mihemko yenu wakati wa msiba imekwisha sasa ndiyo mnakumbuka kuna Wasukuma na chap mkakimbilia kuanzia mikutano yenu Mwanza.Wasukuma washamba bado wapo na kumbukumbu zote wanazo vizuri tu.

Mwanza ni Tanzania, na kila mtu ana haki ya kwenda mwanza. Kama Magufuli aliwaambia mwanza ni mali yake na wasukuma ni wake zake basi mmeukalia. Watu watakuwepo mwanza na mkutano utafanyika, ukitaka pitia nyumba za wasukuma ambao Magufuli aliwakabidhi mwanza, uwaambie wasitokee kwenye huo mkutano. Lakini watu wote wanaojitambua na watakao kuwe na nafasi watajitokeza kwenye huo mkutano. Hutaki jinyonge
 
Ne Nzagamba jenekele jileho nulo twashiga tudama neyo utusatile gete [emoji3]
Nyamizi hama lolo yabhi shene hange ...Bhazubha na Bhagika toibhone lolo e mbina....

Mngomane eeh Chadema Sayansi nnhale sana ..mkibhane mmatongo
 
Ha ha ha wanachekesha sana,wamepigana nae hapa JF wamemshindwa,wameamua wamfuate kabisa kwenye ngome yake.Marehemu pamoja na kuwa ametangulia mbele za haki lakini bado anawatoa jasho mpaka wameamua waende Mwanza.

Unaongea utoto gani, Mwanza ni sehemu ya Tanzania, sio kaburi au nyumbani kwa huyo marehemu. Kama wakati anaelekea motoni alikuambia Mwanza ni shamba lake, basi nenda kaburini ukamwambie alikuingiza mjini
 
Nyamizi hama lolo yabhi shene hange ...Bhazubha na Bhagika toibhone lolo e mbina....

Mngomane eeh Chadema Sayansi nnhale sana ..mkibhane mmatongo
E shida ing'we mkitolaga mmanile kila kenhu, mkagabhonaga ama CCM gete gatamanile,aleyo e mbina ya kuchagula ilatolwe hagate mkogelela kulela masumanda.Tukabhawela ama kanza ga mayanga mtizagomala e mihayo yose,mtigilwe.Nzogwi lulu bhana Ng'wanza tuliho twamlindelile mwize mwilolele e mbina kachele [emoji3][emoji3]
 
Unaongea utoto gani, Mwanza ni sehemu ya Tanzania, sio kaburi au nyumbani kwa huyo marehemu. Kama wakati anaelekea motoni alikuambia Mwanza ni shamba lake, basi nenda kaburini ukamwambie alikuingiza mjini
Kwa akina Mashinji
 
Tunawasubirieni mje mtueleze vizuri maana ya Sukuma Gang.Viongozi wa CDM hili wanalitambua vizuri tu ndiyo maana wakaichagua Mwanza kuwa ndiyo sehemu yao ya kuanzia Siasa zao za majukwaani rasmi.Hawakuichagua Mwanza kwa bahati mbaya.
 
Sukuma gang ni kundi la wahuni wote walioshirikiana na Magufuli kufanya uhayawani kwenye nchi hii. Kama ulishirikiana naye kufanya unyama huo, hatujali ww ni msukuma au ni kabila gani bali ww ni mtu muovu. Habari ndio hiyo.
 
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!
Usiwapangie. Ni haki yao kuanzia popote pale.
 
Sukuma gang ni kundi la wahuni wote walioshirikiana na Magufuli kufanya uhayawani kwenye nchi hii. Kama ulishirikiana naye kufanya unyama huo, hatujali ww ni msukuma au ni kabila gani bali ww ni mtu muovu. Habari ndio hiyo.
Nategemea huu ufafanuzi utautoa pia kwenye viwanja vya Furahisha.Wasukuma watakuwepo kukusikiliza kwa makini ukimpiga Spana JPM.Tatizo la wanaharakati wa CDM wengi wenu mnaishiaga kutoa povu hapa JF,wanaokwenda Field kina Mnyika naamini wanatusoma vizuri sana na wanajiandaa kujibu hiki tunachokihoji kwa manufaa ya ukuaji wa Chama chenu.
 
Sukuma gang ni kundi la wahuni wote walioshirikiana na Magufuli kufanya uhayawani kwenye nchi hii. Kama ulishirikiana naye kufanya unyama huo, hatujali ww ni msukuma au ni kabila gani bali ww ni mtu muovu. Habari ndio hiyo.
Mnatumia jina la kabila kutambulisha uhuni kwanini wasingelitumia kabila la DJ chaga gang au rombo gang!?
Mmeyakanyaga sijui mtakuja na sera gani kuwadanganya hao wasukuma.
Wakati huo huo mnasema magufuli alikuwa mrundi chuki zidi ya wasukuma haita waacha salama.
 
E shida ing'we mkitolaga mmanile kila kenhu, mkagabhonaga ama CCM gete gatamanile,aleyo e mbina ya kuchagula ilatolwe hagate mkogelela kulela masumanda.Tukabhawela ama kanza ga mayanga mtizagomala e mihayo yose,mtigilwe.Nzogwi lulu bhana Ng'wanza tuliho twamlindelile mwize mwilolele e mbina kachele [emoji3][emoji3]
Toko chela emikulo no Nengi aliza bhokango!!!

Yawiza sana Nyamizi..ila wazimelile sana

Olonoshika nako ko PM ..yeneye Shimba ya Maganzo bhotemini Wizunza ile haha Mmabala
Bhageshage pyee abhana Nzengo Myanza Rock Sitee
 
Mnatumia jina la kabila kutambulisha uhuni kwanini wasingelitumia kabila la DJ chaga gang au rombo gang!?
Mmeyakanyaga sijui mtakuja na sera gani kuwadanganya hao wasukuma.
Wakati huo huo mnasema magufuli alikuwa mrundi chuki zidi ya wasukuma haita waacha salama.
Tunawaangalia tu wanavyojichanganya.Tuliwaambia kipindj cha Msiba,walivyokuwa wanawakejeli Wasukuma tukawauliza kama hawahitaji kura zao,wakatutolea maneno ya kejeli sana.Leo hii hawa hapa wanakurupuka kukimbilia Mwanza.
 
Toko chela emikulo no Nengi aliza bhokango!!!

Yawiza sana Nyamizi..ila wazimelile sana

Olonoshika nako ko PM ..yeneye Shimba ya Maganzo bhotemini Wizunza ile haha Mmabala
Bhageshage pyee abhana Nzengo Myanza Rock Sitee
Obheja sana Nkigwa,bhageshage ko pye u kaya yako.It was funny having this convo in our mother tongue.Uwe na siku njema.
 
Back
Top Bottom