Lakini ni hawa hawa Kanda ya Ziwa waliambiwa ni Washamba na wajinga sana na hasa Wasukuma.Nchi hii haitokaa tena kutoa Kiongozi hasa kwa wasukuma,leo mnaenda kuwaambia nini tena,nilidhani hawa wajinga na washamba hawana umuhimu sana,mngewaacha na ujinga wao.Kitu kinachotakiwa kukielewa
Kwamba mwanza au Kanda ya ziwa nieneo miaka yote ya uchaguzi huamua hatima ya Tanzaia kwaidadi Yao wanatakiwa kupewa elimu ya uraia mudawote ,kwani wanachangia kutuchelewesha.......wafugaji na wavuvi Hawa hawatakiwi kuachwa
Mwanza pazuri kula maisha. Uende rukwa hotel hata maji hazina. Acha watu wale bataNilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.
Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza
Ngoja tuone!
Umeongea point muhimu sana,watakubishia tu kwa sababu wataamua kubisha lakini ukweli ndiyo huo.Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.
Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza
Ngoja tuone!
Umenena vyema.Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.
Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza
Ngoja tuone!
Magufuli alikua binadam kama wewe dadaChadema hawajielewi wanakuja Mwanza ,huku wakijua walishangilia kifo cha Magufuli. Wataambulia aibu
Najua wewe nimsukuma ,nilazima ufikiwe uelimishwe na ujuavyo unahaki kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa ,endapo ulipochaguliwa nafsi hukuitumia vizuri fursa uliyobakia ni kuchagua hivyo .elimu Haina mwisho kufikiwa muhimu wapokee Kwa mikono miwiliLakini ni hawa hawa Kanda ya Ziwa waliambiwa ni Washamba na wajinga sana na hasa Wasukuma.Nchi hii haitokaa tena kutoa Kiongozi hasa kwa wasukuma,leo mnaenda kuwaambia nini tena,nilidhani hawa wajinga na washamba hawana umuhimu sana,mngewaacha na ujinga wao.
alie kudanganya kuwa magu anapendwa mwnza nani? mbona mimi naishi mwzChadema hawajielewi wanakuja Mwanza ,huku wakijua walishangilia kifo cha Magufuli. Wataambulia aibu
Ila angalizo chadema watawaalibia Mbeya,MBEYA MSHIKENI MAMA SAMIA INAONEKANA ANATAKA KUIBADILISHA MBEYA, ILNyanda za juu ni wafuata mkumbo awasumbui kuwawekea sawa
raha sio raha ndugu zanguJiandae kuona ukweli utakaoumiza nafsi yako. Hapo ndio utajua mlikuwa manjidanganya na siasa za yule kiongozi wenu muovu aliyeko motoni.
kada ya ziwa mshama alisha kufa wamebakia washuaLakini ni hawa hawa Kanda ya Ziwa waliambiwa ni Washamba na wajinga sana na hasa Wasukuma.Nchi hii haitokaa tena kutoa Kiongozi hasa kwa wasukuma,leo mnaenda kuwaambia nini tena,nilidhani hawa wajinga na washamba hawana umuhimu sana,mngewaacha na ujinga wao.
Endelea na majungu na uzushi JoHahaha! Nyanda za Juu Kusini ndio kuna wafia chama!
Moshi Mmetisha sana pale Lumumba Sekretarieti
Hiyo Elimu unayotaka kuwapa Wasukuma hebu kwanza ianzie kwako wewe,ukishaelimika uje sasa kuwaelimisha na wao.Najua wewe nimsukuma ,nilazima ufikiwe uelimishwe na ujuavyo unahaki kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa ,endapo ulipochaguliwa nafsi hukuitumia vizuri fursa uliyobakia ni kuchagua hivyo .elimu Haina mwisho kufikiwa muhimu wapokee Kwa mikono miwili
Wakati ule mlitoa kejeli za kutosha kwa wasukuma,sisi tupo kuwakumbusheni kuwa Wasukuma hawajasahau,karibuni lakini mjiandae kisaikolojia kujibu maswali magumu ya Wasukuma.kada ya ziwa mshama alisha kufa wamebakia washua
Salimia nyakato nyakato hapoHiyo Elimu unayotaka kuwapa Wasukuma hebu kwanza ianzie kwako wewe,ukishaelimika uje sasa kuwaelimisha na wao.
Kuna chama kilishangilia jambo hilo kama ccm ?Chadema hawajielewi wanakuja Mwanza ,huku wakijua walishangilia kifo cha Magufuli. Wataambulia aibu
Tyrany of numbers!Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.
Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza
Ngoja tuone!
Wakati ule mlitoa kejeli za kutosha kwa wasukuma,sisi tupo kuwakumbusheni kuwa Wasukuma hawajasahau,karibuni lakini mjiandae kisaikolojia kujibu maswali magumu ya Wasukuma.
Osatile Nyanda ong'weh hhomba Enzagamba Lumaga Shimba Jeliza kutandola ...Chadema Peeeeeopleeeeee!!!!Chadema hawajielewi wanakuja Mwanza ,huku wakijua walishangilia kifo cha Magufuli. Wataambulia aibu
Kwani ujui wamepanga vita na marehemu ndiyo maana wanakwenda mwanza wakijidanvanya kuwa watamshinda marehemuNilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.
Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza
Ngoja tuone!
Ndiyo wapi?Salimia nyakato nyakato hapo