Waache waje kupigana na marehemu sisi tuna wazoom tuNilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.
Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza
Ngoja tuone!
Mnakumbuka shuka kukiwa kumekucha,sisi tupo kuwakumbusheni.Ile mihemko yenu wakati wa msiba imekwisha sasa ndiyo mnakumbuka kuna Wasukuma na chap mkakimbilia kuanzia mikutano yenu Mwanza.Wasukuma washamba bado wapo na kumbukumbu zote wanazo vizuri tu.Magufuli sio msukuma, usitake kumpa kabila lisilo lake. Nyie sio wasukuma, bali ni CCM mnaojifichia kwa wasukuma. Mwanza ni Tanzania, na hakuna kabila lolote lenye haki miliki ya eneo hapa Tanzania. Na CDM wanaenda popote bila kujali CCM mtatumia kabila la walio wengi eneo fulani kufanya siasa zenu chafu.
Ne Nzagamba jenekele jileho nulo twashiga tudama neyo utusatile gete [emoji3]Osatile Nyanda ong'weh hhomba Enzagamba Lumaga Shimba Jeliza kutandola ...Chadema Peeeeeopleeeeee!!!!
Ha ha ha wanachekesha sana,wamepigana nae hapa JF wamemshindwa,wameamua wamfuate kabisa kwenye ngome yake.Marehemu pamoja na kuwa ametangulia mbele za haki lakini bado anawatoa jasho mpaka wameamua waende Mwanza.Kwani ujui wamepanga vita na marehemu ndiyo maana wanakwenda mwanza wakijidanvanya kuwa watamshinda marehemu
Tumetulia tu kama tulivyotulia kipindi kile cha msiba walivyokuwa wanatoa shombo zao.Sukuma Gang tupo sanaWaache waje kupigana na marehemu sisi tuna wazoom tu
Mnakumbuka shuka kukiwa kumekucha,sisi tupo kuwakumbusheni.Ile mihemko yenu wakati wa msiba imekwisha sasa ndiyo mnakumbuka kuna Wasukuma na chap mkakimbilia kuanzia mikutano yenu Mwanza.Wasukuma washamba bado wapo na kumbukumbu zote wanazo vizuri tu.
Nyamizi hama lolo yabhi shene hange ...Bhazubha na Bhagika toibhone lolo e mbina....Ne Nzagamba jenekele jileho nulo twashiga tudama neyo utusatile gete [emoji3]
Ha ha ha wanachekesha sana,wamepigana nae hapa JF wamemshindwa,wameamua wamfuate kabisa kwenye ngome yake.Marehemu pamoja na kuwa ametangulia mbele za haki lakini bado anawatoa jasho mpaka wameamua waende Mwanza.
E shida ing'we mkitolaga mmanile kila kenhu, mkagabhonaga ama CCM gete gatamanile,aleyo e mbina ya kuchagula ilatolwe hagate mkogelela kulela masumanda.Tukabhawela ama kanza ga mayanga mtizagomala e mihayo yose,mtigilwe.Nzogwi lulu bhana Ng'wanza tuliho twamlindelile mwize mwilolele e mbina kachele [emoji3][emoji3]Nyamizi hama lolo yabhi shene hange ...Bhazubha na Bhagika toibhone lolo e mbina....
Mngomane eeh Chadema Sayansi nnhale sana ..mkibhane mmatongo
Ndiyo umeshaiongelea hivyoCHADEMA imeshakufa Mimi naona kuiongelea Sana na kuipa promo
Kwa akina MashinjiUnaongea utoto gani, Mwanza ni sehemu ya Tanzania, sio kaburi au nyumbani kwa huyo marehemu. Kama wakati anaelekea motoni alikuambia Mwanza ni shamba lake, basi nenda kaburini ukamwambie alikuingiza mjini
Tunawasubirieni mje mtueleze vizuri maana ya Sukuma Gang.Viongozi wa CDM hili wanalitambua vizuri tu ndiyo maana wakaichagua Mwanza kuwa ndiyo sehemu yao ya kuanzia Siasa zao za majukwaani rasmi.Hawakuichagua Mwanza kwa bahati mbaya.Unaongea utoto gani, Mwanza ni sehemu ya Tanzania, sio kaburi au nyumbani kwa huyo marehemu. Kama wakati anaelekea motoni alikuambia Mwanza ni shamba lake, basi nenda kaburini ukamwambie alikuingiza mjini
Tunawasubirieni mje mtueleze vizuri maana ya Sukuma Gang.Viongozi wa CDM hili wanalitambua vizuri tu ndiyo maana wakaichagua Mwanza kuwa ndiyo sehemu yao ya kuanzia Siasa zao za majukwaani rasmi.Hawakuichagua Mwanza kwa bahati mbaya.
Usiwapangie. Ni haki yao kuanzia popote pale.Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.
Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza
Ngoja tuone!
Nategemea huu ufafanuzi utautoa pia kwenye viwanja vya Furahisha.Wasukuma watakuwepo kukusikiliza kwa makini ukimpiga Spana JPM.Tatizo la wanaharakati wa CDM wengi wenu mnaishiaga kutoa povu hapa JF,wanaokwenda Field kina Mnyika naamini wanatusoma vizuri sana na wanajiandaa kujibu hiki tunachokihoji kwa manufaa ya ukuaji wa Chama chenu.Sukuma gang ni kundi la wahuni wote walioshirikiana na Magufuli kufanya uhayawani kwenye nchi hii. Kama ulishirikiana naye kufanya unyama huo, hatujali ww ni msukuma au ni kabila gani bali ww ni mtu muovu. Habari ndio hiyo.
Mnatumia jina la kabila kutambulisha uhuni kwanini wasingelitumia kabila la DJ chaga gang au rombo gang!?Sukuma gang ni kundi la wahuni wote walioshirikiana na Magufuli kufanya uhayawani kwenye nchi hii. Kama ulishirikiana naye kufanya unyama huo, hatujali ww ni msukuma au ni kabila gani bali ww ni mtu muovu. Habari ndio hiyo.
Toko chela emikulo no Nengi aliza bhokango!!!E shida ing'we mkitolaga mmanile kila kenhu, mkagabhonaga ama CCM gete gatamanile,aleyo e mbina ya kuchagula ilatolwe hagate mkogelela kulela masumanda.Tukabhawela ama kanza ga mayanga mtizagomala e mihayo yose,mtigilwe.Nzogwi lulu bhana Ng'wanza tuliho twamlindelile mwize mwilolele e mbina kachele [emoji3][emoji3]
Tunawaangalia tu wanavyojichanganya.Tuliwaambia kipindj cha Msiba,walivyokuwa wanawakejeli Wasukuma tukawauliza kama hawahitaji kura zao,wakatutolea maneno ya kejeli sana.Leo hii hawa hapa wanakurupuka kukimbilia Mwanza.Mnatumia jina la kabila kutambulisha uhuni kwanini wasingelitumia kabila la DJ chaga gang au rombo gang!?
Mmeyakanyaga sijui mtakuja na sera gani kuwadanganya hao wasukuma.
Wakati huo huo mnasema magufuli alikuwa mrundi chuki zidi ya wasukuma haita waacha salama.
Obheja sana Nkigwa,bhageshage ko pye u kaya yako.It was funny having this convo in our mother tongue.Uwe na siku njema.Toko chela emikulo no Nengi aliza bhokango!!!
Yawiza sana Nyamizi..ila wazimelile sana
Olonoshika nako ko PM ..yeneye Shimba ya Maganzo bhotemini Wizunza ile haha Mmabala
Bhageshage pyee abhana Nzengo Myanza Rock Sitee
Unaikumbuka ile kauri ya mzee Yusufu Makamba kwa wazuri hawafi! Sasa happy nani alifurahia kifo cha Magufuri?Chadema hawajielewi wanakuja Mwanza ,huku wakijua walishangilia kifo cha Magufuli. Wataambulia aibu