Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 939
- 1,460
Hiyo ndo maana ya Betting bro, wataalam tunaiita GG.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hivyo chadema kigezo chake ccmMuulize Mama Salma Kikwete kwanini na yeye Viti Maalum ameomba na huku kwny kinyanganyiro anagombea pia.
Ndio na INATEGEMEA NIMEAMKAJE.Kwa hivyo chadema kigezo chake ccm
Sawa na tusubiri ilikuwa ....Ndio na INATEGEMEA NIMEAMKAJE.
Ulindi na ulimbombo.Sawa na tusubiri ilikuwa ....
Na Halima Mdee kafanya hivyo hivyo.CHADEMA nakuwaje mtu anagombea viti vyote cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja?
Mifano michache ni hii hapa Devota Minja na Grace Kiwelu
MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA MOROGORO MJINI
1. Jimbo
Idadi ya Wapiga kura 125
Kura zilizoharibika 6
a. DEVOTHA MINJA 83 sawa na 66.4%
b. SHABAN DIMOSO 33 sawa na 26.4%
c. WILFRED NGINDU 2 sawa na 1.6%
c. JUMA TEMBO 1 sawa na 0.8%
VITI MAALUMU
Idadi ya Wapiga Kura 55
Kura zilizoharibika 02
a. DEVOTHA MINJA 38 sawa na 70.3%
b. ESTHER TAWETE 11 sawa na 20%
c. MARIA MIHANJO 4 sawa na 7%
d. DOROTH NAMUNASHI 0 sawa na 0%.
Gwamaka Mbughi
Msimamizi
MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA VUNJO (KILIMANJARO)
Ubunge wa Jimbo
Mgombea;
1) Grace Kiwelu Kura 80 =95.23%
2) Peter Msophe 4
UBUNGE Viti Maalum
1) Mh Grace Kiwelu kura 25 = 83.33%
2) Aziza Mohammed 05 =16%
Umeanza mtindo wa kuwa unanidukua sio vizuri dogo. Kila nikipost zinatoka duplicate posts. Acha uhuni wa Manzese tindoHebu kaa kwa kutulia we dogo, huna ujualo zaidi ya kujaza server za jf.
Na Halima Mdee kafanya hivyo hivyo.
Maana yake ni kuwa hawa jamaa hawategemei hata kidogo kwamba watashinda kwenye hayo majimbo. Wanajua CCM inayarudisha. Hivyo wamejiwahi kwenye kuteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum ili angalao warejee mjengoni.
Sifa ya chama kupata viti maalum inategemea na idadi ya wabunge itakaowapata kwenye majimbo - at least wasipungue 10, idadi ambayo chadema ni ngumu kuipata.
Umaarufu wa nini?Nikudukue kwa lipi dogo? Unasaka umaarufu kupitia kwangu? Acha kusaka pointi za mezani kwa njia rahisi.
Umaarufu wa nini?
Tofautisha kusifia na kusema ukweli. Mathalani mwakani Mungu akipenda JNHPP inakamilika wewe hautafaidi huo umeme?Nikudukue ili nijaze mapost ya kumsifia jiwe ili iweje labda?
Wacha wakatane halafu waanze kurogana, maana maccm hayawezi kuachiana hata chupa ya maji ya kunywa.Kwa kila eneo kuna mshindi wa pili atapewa. Sio tatizo kabisa bado matakwa ya sanduku la kula Chadema yataheshimiwa.
Subiria maumivu ya CCM watu watashinda kwa kura za watu kihalali lakini watakatwa kinyume na matakwa ya kura halali punde zikiwasili Dodoma.
Tofautisha kusifia na kusema ukweli. Mathalani mwakani Mungu akipenda JNHPP inakamilika wewe hautafaidi huo umeme?
Ndio maana huwa nakuambia wewe sio mzalendo. Yaani mkoloni kujenga shule alafu Pamba,almasi na dhahabu akawa anapeleka bure unamsifia. Na shule zenyewe alijenga kwa ajili ya watu wachache na watoto wa wakoloni. Unafeli sana we dogo.Hata umeme wa wakoloni naufaidi, na shule ya msingi niliyosoma hapa Dar ilijengwa na wakoloni.
Ndio maana huwa nakuambia wewe sio mzalendo. Yaani mkoloni kujenga shule alafu Pamba,almasi na dhahabu akawa anapeleka bure unamsifia. Na shule zenyewe alijenga kwa ajili ya watu wachache na watoto wa wakoloni. Unafeli sana we dogo.
CHADEMA nakuwaje mtu anagombea viti vyote cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja?
Mifano michache ni hii hapa Devota Minja na Grace Kiwelu
MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA MOROGORO MJINI
1. Jimbo
Idadi ya Wapiga kura 125
Kura zilizoharibika 6
a. DEVOTHA MINJA 83 sawa na 66.4%
b. SHABAN DIMOSO 33 sawa na 26.4%
c. WILFRED NGINDU 2 sawa na 1.6%
c. JUMA TEMBO 1 sawa na 0.8%
VITI MAALUMU
Idadi ya Wapiga Kura 55
Kura zilizoharibika 02
a. DEVOTHA MINJA 38 sawa na 70.3%
b. ESTHER TAWETE 11 sawa na 20%
c. MARIA MIHANJO 4 sawa na 7%
d. DOROTH NAMUNASHI 0 sawa na 0%.
Gwamaka Mbughi
Msimamizi
MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA VUNJO (KILIMANJARO)
Ubunge wa Jimbo
Mgombea;
1) Grace Kiwelu Kura 80 =95.23%
2) Peter Msophe 4
UBUNGE Viti Maalum
1) Mh Grace Kiwelu kura 25 = 83.33%
2) Aziza Mohammed 05 =16%