CHADEMA inawezaje kuwa na wastaafu wa Jeshi au viongozi waliowahi kuwa karibu sana na Usalama wa Taifa?

CCM inao mpaka wabunge na Mawaziri kutoka TISS.

Nani anamiliki hivyo vyombo?
 
Hata maiti haiwezi kuwaza kama unavyowaza.
Kwani Chadema ni chama cha magaidi ila Ccm ndo chama cha siasa.
Elimu mbovu tunayopewa ndo matokeo ya wananchi kama Hawa.
Si mruhusu Katiba mpya,mbona mmeganda na Katiba iliyopitwana wakati.😡😡
Vijana wa CCM wengi hua wajinga wenye roho mbaya,chuki,husda,vitimbi,washirikina,mafala na Kila aina ya uzandiki.
 
you're right
 
Kwa comments za wachangiaji ni sahii kwa CCM kushinda uchaguzi, majitu ya humu ni mapumbavu sana sana. Mleta mada ana hoja nzuri ila wachangiaji ni wapuuzi
Hoja ina uzuri gani hapo zaidi ya upuuzi ,,kwani ukistaafu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama au ukistaafu uongozi serikalini kuna limitation ya kwenda chama fulani tu ? Zelote stivini baada ya kustaafu utumishi jeshi la polisi hakuwa mwenyekiti wa ccm pale Rukwa ?? Marehemu Agustino lyatonga mlema hakuwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani badae akaenda kuanzisha chama chake cha TLP ?? Tuache kukingia vifua vitu visivyokuwa na mashiko yoyote
 
Nàona unanichomeka kidole mkyunduni kwako afu unajinusa unataka kugundua nini
 
Mbona hujasemea wakuu wa wilaya na mikoa ambao walihudumu mwanzon kama wanajeshi na askari..? Kwani kosa lao hapo ni lipi..? Akili zingine zimekaa kiajabu kweli kweli
 
Kwani hawana haki kikatiba,au basi tuu ndio wenye kuona ni zaidi ya wote na chochote?
 
Mwenye akili timamu ndiye atakayekuelewa.

Tanzania hakuna chama cha upinzani
 
Kumbe askari wastaafu hawatakiwi kuwa na uanachama wa chama cha siasa?
Kilaza huyo ,kwani Kikwete ,makamba ,Kinana ,Lowasa na wengine wengi humo ccm walikuwa wanajeshi wa congo au ?
Na wote walikuwa macapteni na maluteni humo jwtz
 

Hebu jaribu kuwaza kama akili yako ina AKILI!
 
Vijana hawawezi kukuelewa, lakini ukweli nchi hii hakuna vyama pinzani wote ni ccm na wanao ingia kutaka wawe wapinzani wa kweli ndio kama hivyo
 
Ongeza Zelotte Stephen na Adadi. Rajab!
Tunamjumlishia Captain Mkuchika, Captain Maokola Majogo, Kanali Kinana, General Mboma aliyegombeaga ubunge mbeya kwa ticket ya haohao CCM akapigwa chini, Captain Komba, akina Membe wazee wa mfumo nk hao ndio wanafaa kuwa CCM tu ndio huyu bwege anachomaanisha
 
Taifa hili lina wafu wengi wa akili na hawajijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…