Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
CCM kwa woga!!??CHADEMA kwa kususa!
CCM kwa ufisadi na wizi wa kura !!!!CHADEMA kwa kususa!
Aliyeua CUF ni Lipumba kwa kuhadaiwa na CCM! NCCR kimejiua chenyewe kwa uroho wa madaraka,!Chadema Ndio waliuwa CUF na Nccr Mageuzi kupitia Ule Utapeli wa UKAWA
😂😂😌CCM kwa woga!!??
Yaani una akili za kipoyoyo!Imekuwa kama ni gubu dhidi ya CHADEMA . Ni kama vile CHADEMA inashutumiwa kila wakati jambo fulani linapokwenda mrama nchini Tanzania.
Lakini shutuma kubwa kwa CHADEMA ni kuwa ama kitasemwa na CCM kama ni chama hatari Kwa maslahi ya taifa au na vyama vingine kuwa CHADEMA ni dhaifu dhidi ya CCM.
Kama CHADEMA ni dhaifu Kwani Kuna watu wengine Wamezuiwa kuanzisha au kuimarisha vyama vingine viwe imara kuliko CHADEMA?
Msijifanye ni wema kwa CHADEMA wakati mnaiuchukia.
Wana ccm wanaiogopa cdm kuliko hata covid.Imekuwa kama ni gubu dhidi ya CHADEMA . Ni kama vile CHADEMA inashutumiwa kila wakati jambo fulani linapokwenda mrama nchini Tanzania.
Lakini shutuma kubwa kwa CHADEMA ni kuwa ama kitasemwa na CCM kama ni chama hatari Kwa maslahi ya taifa au na vyama vingine kuwa CHADEMA ni dhaifu dhidi ya CCM.
Kama CHADEMA ni dhaifu Kwani Kuna watu wengine Wamezuiwa kuanzisha au kuimarisha vyama vingine viwe imara kuliko CHADEMA?
Msijifanye ni wema kwa CHADEMA wakati mnaiuchukia.
Nawewe susaCHADEMA kwa kususa!
Wakati wewe unashindia kashata na maji ya kandoro?Tutawatandika mwakani kipigo kizito sana Allen
Wewe ndiyo zumbukuku kabisaYaani una akili za kipoyoyo!
Stup..
Duh!Nawewe susa
Njaa inamsumbua huyo.Wakati wewe unashindia kashata na maji ya kandoro?
Wewe kibaka tu anakujua naniTutawatandika mwakani kipigo kizito sana Allen
CCM ni laanaCHADEMA kwa kususa!
Sio kwa kura, maana hilo mlishashindwa.Tutawatandika mwakani kipigo kizito sana Allen