Uchaguzi 2020 CHADEMA isishiriki Uchaguzi mkuu Oktoba 2020 sababu ya Corona

Uchaguzi 2020 CHADEMA isishiriki Uchaguzi mkuu Oktoba 2020 sababu ya Corona

mashirika ya kimataifa yashaiona chadema hamna kitu.
pale tu walipogundua mbowe kafungua akaunti uswiss na akaunti inazaidi ya bilioni 8.wakaona ni mobutu wa zama hizi.
ndo maana kwa sasa wana msaport rais magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Zilezile busara za Mbowe kukaa karantini sasa zitumike ili Chadema isishiriki uchaguzi mkuu mwaka 2020.

Hii itaifanya Chadema kukubalika na WHO, US na EU kama "wapambanaji" dhidi ya Corona.

Itakuwa sio vema kabisa Chadema kushiriki kampeni za uchaguzi wakati wana ushahidi kuwa "watu wanakufa na kuzikwa usiku"

Itapendeza wakitumia kipindi cha kampeni kuhamasisha wananchi kupitia mitandao ya kijamii wakae ndani hadi pale WHO watakaposema dunia haina Corona.

Wakati wa Chadema kuishi yale wanayoyaamini ni sasa si kesho.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie endeleeni kujidanganya na kumdanganya mkuu wa nchi kwa tafiti zenu za kimaslahi kwamba hata mkiendelea kukanyaga katiba, kuvunja haki za binadamu, kuibia nchi kwa siri, kuminya demokrasia, na kuvuruga chaguzi makusudi ili Jiwe aendelee kutawala kimabavu - eti hakuna kitakachotokea, na kwamba nchi itaendelea kuaminiwa na kutofuatiliwa na Jumuiya ylza Kimataifa.

Mnajidanganya sana. Kwani hata mkilazimisha kuvuruga uchaguzi ili mbaki madarakani kwa hila (kama mlizovyozowea) safari hii wala hamtakaa mfaidi huo uhuni wenu. Mtapata shida nyie binafsi na mtaitesa hii nchi kwa muda mrefu ujao.

Pateni mtu wa kuwafungua macho muondokane na hiyo mipango ya kijinga. Achane kutumia njia za kijangiri kuua upinzani nchini. Achane mipango ya kijambazi kubaki madarakani. Fuateni sheria za nchi. Ruhusuni uhuru wa kujieleza kama ilivyozoleka huko nyuma, acheni watu wachague viongozi wanaowataka bila kuweka mazingira ya kuwashurutisha wachague mnachokitaka. kifanya hivyo hata kama mtaendeleza wizi wenu wa kura wa siku zote angalau Jumuiya ya Kimataifa watawasamehe kwa kujua mmendelea kubaki madarakani kwa kutumia njia zetu walizozizowea.

Lakini mkiziba masikio kwa kuendelea kujiamini kichawi na kiintelijenjia (isiyo ya taifa, maana Intel za kweli za Taifa huwa hazifanyi ujinga kama huu) basi mjue huko mbele ni giza. Mtajikuta hamna pa kupitia maana Dunia itawainukia hamtaamini.

Tanzania must live, every stupid, dead head out there must go.
 
Mil.50 kitu gani? Zimejengwa zahanati zaidi ya mia nne,vituo vya afya 467,hospital za wilaya 67. Wewe unaulizia mil 50!

Weka list ya hivyo vituo na mahali vilipo ili tujiridhishe na hiyo idadi.
 
Chadema sanyingine wanamaamuzi ya kijinga... Waligomea serikali za mitaa kijinga na uchaguzi huu bila tume huru hali itakuwa mbaya. Inafaa wajifunze siasa za demokrasia ya kistaarabu na kimaendeleo.
-Kilakitu wanapinga na elimu zao ndooogo kabisa.
- hawafanyi cha maana (hata mafuriko majimboni mwao hawaendi kusaidia) kisa eti hawakusanyi kodi wao nikula na familia zao.
- wanahitajika lkn hawajielewi,hawajengi maelewano na maridhiano no mipasuko na madharau.
- wanachafua/kutusi watu bila ushahidi kisa wapande kisiasa,walimfanyia hivyo lowassa badae wakala matapishi na hata kinana mpaka kumwomba radhi sasa sijui wanamtaka chamani.
- hawasimamii jambo wakafanikisha mf. katiba,tume ya uchaguzi nk.
Chama kitaanguka vibaya hiki inabidi kijivue gamba kibadilike lasivyo kitapotea kama CUF!!
Umesahau Sera zao zilizozinduliwa kwa mbwembwe zimeishia kuliwa na mende makabatini. Hata ukiuliza wafuasi wao humu JF hawazijui. Wanchijua ni kuanzisha bandiko za kulaumu na kulalamika kwa lugha ya matusi wakiambatanisha ushahidi feki.

Sasa wanavuna walichopanda. Wenye kujitambua wanajiondoa kwenye chama. Wala hawajiuluzi kwa nini ni CHADEMA tu?
 
Nani kakwambia cdm inajitoa? Hivi wewe una akili kweli?

Cdm ni tunu kutoka kwa mungu imekuja hapa Tanzania kuwakomboa watanzania
Kwa nini CHADEMA wajitoe wakati wana hiyo "Agenda nzito" ya kutumia wakati wa kampeni za Uchaguzi na wakaingia Ikulu kwa ulainiiii!

In God we Trust
 
Back
Top Bottom