Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mil.50 kitu gani? Zimejengwa zahanati zaidi ya mia nne,vituo vya afya 467,hospital za wilaya 67. Wewe unaulizia mil 50!Yote Tisa kumi Mil 50 kila kijiji ndio tunazitaka bila kusahau viwanda mlivyotuhaidi.
Kamuulize chakubangaJibu swali mtashiriki uchaguzi? Na nani atakuwa mgombea wa urais kupitia Chadema?
Tatizo lako ni ufahamu,Mil.50 kitu gani? Zimejengwa zahanati zaidi ya mia nne,vituo vya afya 467,hospital za wilaya 67. Wewe unaulizia mil 50!
Kwa hiyo huyo ndio anapaswa kujibu maswali ya kama chadema mtashiriki uchaguzi ama la?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mil 50 kitu gani? Kama watu wamefanya makubwa zaidi ya mil 50. Hoja mfu hiyo.Tatizo lako ni ufahamu,
In God we Trust
Ndugu zangu,
Zilezile busara za Mbowe kukaa karantini sasa zitumike ili Chadema isishiriki uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Hii itaifanya Chadema kukubalika na WHO, US na EU kama "wapambanaji" dhidi ya Corona.
Itakuwa sio vema kabisa Chadema kushiriki kampeni za uchaguzi wakati wana ushahidi kuwa "watu wanakufa na kuzikwa usiku"
Itapendeza wakitumia kipindi cha kampeni kuhamasisha wananchi kupitia mitandao ya kijamii wakae ndani hadi pale WHO watakaposema dunia haina Corona.
Wakati wa Chadema kuishi yale wanayoyaamini ni sasa si kesho.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hiyo tunauliza ule mradi Wa matrekta kule Ifakara umefika wapiYote Tisa kumi Mil 50 kila kijiji ndio tunazitaka bila kusahau viwanda mlivyotuhaidi.
Wakisusa ....
Mil.50 kitu gani? Zimejengwa zahanati zaidi ya mia nne,vituo vya afya 467,hospital za wilaya 67. Wewe unaulizia mil 50!
Acha ubishi wa kwenye kahawa.Weka list ya hivyo vituo na mahali vilipo ili tujiridhishe na hiyo idadi.
Yote Tisa kumi Mil 50 kila kijiji ndio tunazitaka bila kusahau viwanda mlivyotuhaidi.
Kwa nini CHADEMA wajitoe wakati wana hiyo "Agenda nzito" ya kutumia wakati wa kampeni za Uchaguzi na wakaingia Ikulu kwa ulainiiii!Ukimwambia hilo utakuwa umemkimbiza jukwaani
In God we Trust
Agenda nyingine ya uchaguzi mkuu, kuingiza CHADEMA Ikulu kiulainiviwanda elf 4. mnatuona wajinga sana
Umesahau Sera zao zilizozinduliwa kwa mbwembwe zimeishia kuliwa na mende makabatini. Hata ukiuliza wafuasi wao humu JF hawazijui. Wanchijua ni kuanzisha bandiko za kulaumu na kulalamika kwa lugha ya matusi wakiambatanisha ushahidi feki.Chadema sanyingine wanamaamuzi ya kijinga... Waligomea serikali za mitaa kijinga na uchaguzi huu bila tume huru hali itakuwa mbaya. Inafaa wajifunze siasa za demokrasia ya kistaarabu na kimaendeleo.
-Kilakitu wanapinga na elimu zao ndooogo kabisa.
- hawafanyi cha maana (hata mafuriko majimboni mwao hawaendi kusaidia) kisa eti hawakusanyi kodi wao nikula na familia zao.
- wanahitajika lkn hawajielewi,hawajengi maelewano na maridhiano no mipasuko na madharau.
- wanachafua/kutusi watu bila ushahidi kisa wapande kisiasa,walimfanyia hivyo lowassa badae wakala matapishi na hata kinana mpaka kumwomba radhi sasa sijui wanamtaka chamani.
- hawasimamii jambo wakafanikisha mf. katiba,tume ya uchaguzi nk.
Chama kitaanguka vibaya hiki inabidi kijivue gamba kibadilike lasivyo kitapotea kama CUF!!
Acha ubishi wa kwenye kahawa.
Ndio kusema hujui kama haya yamefanyika ndani ya miaka minne?Nimebishana nini hapo, nimesema weka list acha porojo.
Kwa nini CHADEMA wajitoe wakati wana hiyo "Agenda nzito" ya kutumia wakati wa kampeni za Uchaguzi na wakaingia Ikulu kwa ulainiiii!