Pre GE2025 CHADEMA itaingia Uchaguzi wa 2025 ikiwa Imesambaratika na kupasuka vipande vipande kama kioo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema ipi tena! Miaka kumi na miwili iliyopita mlisema Chadema imekufa leo unasema mpasuko kwa aliyekwisha kufa! Unataka kutuaminisha kuwa Chadema ni kama Yesu, ilikufa na ikafufuka! Uchawi na ramli si kazi nzuri ya kufanya.
CCM ni wajinga sn
 
Ndio Demokrasia hiyo sio CCM ukiongea unawekewa Sumu kwenye Juisi.
CCM inaongozwa kwa kanuni, taratibu na katiba ya chama na siyo kuwa kama genge la wahuni lililokosa muongozo na kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…