imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ndio Demokrasia hiyo sio CCM ukiongea unawekewa Sumu kwenye Juisi.Chama gani imara ambacho viongozi na wanachama wanashambuliana hadharani? Chama gani kisichofuata na kuheshimu katiba yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Demokrasia hiyo sio CCM ukiongea unawekewa Sumu kwenye Juisi.Chama gani imara ambacho viongozi na wanachama wanashambuliana hadharani? Chama gani kisichofuata na kuheshimu katiba yake?
CCM ni wajinga snChadema ipi tena! Miaka kumi na miwili iliyopita mlisema Chadema imekufa leo unasema mpasuko kwa aliyekwisha kufa! Unataka kutuaminisha kuwa Chadema ni kama Yesu, ilikufa na ikafufuka! Uchawi na ramli si kazi nzuri ya kufanya.
We jitafakari tu utagundua kitu,umekua kituko.Kila uzi wako watu wanarudi kuandika kububujikwa a change style kidogo.ongeza ufikiri.Naona hupo sawa kichwani mwako
CCM ni majangili tupuNdio Demokrasia hiyo sio CCM ukiongea unawekewa Sumu kwenye Juisi.
Acha na hilo jitu lijinga snWe jitafakari tu utagundua kitu,umekua kituko.Kila uzi wako watu wanarudi kuandika kububujikwa a change style kidogo.ongeza ufikiri.
Wewe unajua ukweli gani wakati umo humu JF kwa ajili ya kumfurahisha "Mama".Nilichoandika ndio UKWELI wenyewe..
CCM ipo jana ,leo ,kesho na kesho kutwa na utaiacha ikiendelea kuongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.
Sawa Lucas nitakuwa nikituliaAndika vizuri na kwa kutulia ili ieleweke na siyo kuandika utafikiri unakimbizwa nyuma.
Acha utoto wako katika masuala siriasi.UWT mnahangaika sn
Hujui kitu wewe mpiga pambio tuSiyo matamanio bali ndio ukweli wenyewe huo kuwa CHADEMA inakwenda kusambaratika na kupasuka vipande vipande.
CCM inaongozwa kwa kanuni, taratibu na katiba ya chama na siyo kuwa kama genge la wahuni lililokosa muongozo na kiongozi.Ndio Demokrasia hiyo sio CCM ukiongea unawekewa Sumu kwenye Juisi.
Wewe ndio hujuwi kitu zaidi ya ukurupukaji na uropokaji.Hujui kitu wewe mpiga pambio tu
Kidampa kama wewe utajua ukweli gani zaidi ya umbea tuNilichoandika ndio UKWELI wenyewe..
Mimi najua ndiyo maana naishi kwa kujitegemea tofauti na wewe unaumyeishi kwa kutupiwa makombo na mafisadi wa CCM.Wewe ndio hujuwi kitu zaidi ya ukurupukaji na uropokaji.
Kibanda Chenu kinaendelea kuteketea tu kila uchwao.Kidampa kama wewe utajua ukweli gani zaidi ya umbea tu
Nakula kwa jasho langu kwa kazi za mikono yangu.Mimi najua ndiyo maana naishi kwa kujitegemea tofauti na wewe unaumyeishi kwa kutupiwa makombo na mafisadi wa CCM.
Huna Akili.CCM inaongozwa kwa kanuni, taratibu na katiba ya chama na siyo kuwa kama genge la wahuni lililokosa muongozo na kiongozi.
Mtu anayekula kwa jasho lake hawezi kuishi kindezi kama wewe. Wewe unashiba makombo tu ya hao unaowapigia debe.Nakula kwa jasho langu kwa kazi za mikono yangu.
Wewe unayeishi kwa matumaini ya kuteuliwa ndiye unateketea kwani kamwe huwezi kuteuliwaKibanda Chenu kinaendelea kuteketea tu kila uchwao.
Sawa nashukuru maana inafahamika wazi asiye na akili Timamu ni yule anayetukana matusi bila sababu kama ulivyo wewe.Huna Akili.