CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

CHADEMA kwa hili napinga nanyi, CHADEMA ina wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akitoa 500 tu (1,000,000 x 500=500,000,000) si zaidi ya ofisi 10 jamani, mnafeli wapi?
Sasa mkuu mbona unachokipinga ndio ulichoshauri. Kuna tofauti gani wanachama wakichanga mia 5, mia 5 na wakichanga nguvu zao na hela zao kama wanavyofanya sasa.
 
Sasa mkuu mbona unachokipinga ndio ulichoshauri. Kuna tofauti gani wanachama wakichanga mia 5, mia 5 na wakichanga nguvu zao na hela zao kama wanavyofanya sasa.
Hujanielewa mkuu, mpaka sasa sijui wamekusanya laki 6 kati ya milioni 30 upo hapo? maanake hamasa ni ndogo sn
 
Chadema mpaka saaahv mmeshapoekea angalau bil 10 za ruzuku! ofisi za milion 50 unapata ngap apo?
 
Ingekuwa watu wanashirikiana hivi kujenga maisha yao, mbona tungekuwa mbali.

Hizo ofisi watakuja kuporana kama ACT walivyporana ofisi na CUF huko Zanzibar.
Tatizo akili yako inawaza negative.

Ni sawa na wewe unajenga nyumba kubwa lakini utakufa na utaiacha

Funzo
Kwenye maisha usiwaze negative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…