CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

Chadema chama la ombaomba.

Ruzuku ya chama anakula Joyce Mkuya
we bado mtoto mdogo muulize baba yako alivyokua akichangishwa kwenye mshahara wake miaka hiyo mchango wa kuimarisha chama
 
hazinihusu? kwan hujui ruzuku ni kodi za wananchi ama ulidhan ni mradi wa mbowe
CAG alikagua matumizi ya ruzuku ya Chadema akatoa hati safi, ujenzi huu ni michango ya wanachama sio ruzuku.
 
kazi zake ni nini sasa? apo bado na michango ya wanachama kifupi unaongelea atleast 40+ billion in a span of 8 years! mmehindwa kujenga ofisi?
Kwani CCM wamejenga ofisi ngapi.
 
Chadema chama la ombaomba.

Ruzuku ya chama anakula Joyce Mkuya
Umasikini wako wa akili na mali hauwezi kuondoka kwa kuichukia Chadema na pia kuichukia kwako Chadema hakuwezi kukupa uteuzi kama ilivyokuwa enzi za yule dhalim anayeteketea motoni hivi sasa. Utaendelea kutoa comments zako za kipumbavu humu zisizokuwa na mantiki na mwishowe utaendelea kulawitiwa tu kwa hela ya mboga.
 
CHADEMA kwa hili napinga nanyi, CHADEMA ina wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akitoa 500 tu (1,000,000 x 500=500,000,000) si zaidi ya ofisi 10 jamani, mnafeli wapi?
Wewe kwani unatakaje? Achaneni na Chadema hangaikeni na hilo genge lenu la kigaidi.
 
Hujanielewa mkuu, mpaka sasa sijui wamekusanya laki 6 kati ya milioni 30 upo hapo? maanake hamasa ni ndogo sn
Kwani hadi sasa hizo structures zinazooeneka hapa thamani yake ni Tsh. ngapi?
 
CHADEMA kwa hili napinga nanyi, CHADEMA ina wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akitoa 500 tu (1,000,000 x 500=500,000,000) si zaidi ya ofisi 10 jamani, mnafeli wapi?
Kumbuka waliwalilipa mamilioni kwa siku chache katika ile kesi ya viongozi
 
Hakuna biashara isiyo na hasara. Siasa ni dynamics.

Hata waliokuwa wanakaa na Mbowe meza kuu kwenye vikao vya chama, leo amebaki Mbowe peke yake.

Huwezi kukwepa kuzungumza hasara kwa kujidanganya kuwa haitakuwepo.
Wakina nani walikuwa wanakaa na mbowe leo kabaki peke yake?

Halafu kumbuka hizo ni ofisi za chama zinajengwa na wanachama wenyewe tofauti na ile ya Cuf ile watu walitoa tu wenyewe ofisi kama mimi niwe nimejenga halafu niamue kutoa jengo mwenyewe

Kwahiyo hivi vitu havifanani hata kidogo
 
CHADEMA wana roho ya paka. roho saba kuanzia mkiani hata upige hawafi.

Mzee Wasira alisema CHADEMA itakufa kabla ya 2015. CHADEMA wakampeleka Ester Bulaya jimboni kwake, mzee akakalia middle finger.
 
Back
Top Bottom